Ushauri kwa Rais Samia: Nafasi za uteuzi wa Ma DED na wakuu wa taasisi amwachie Dkt. Mpango huku yeye akibaki na Ma DC, RC, Mabalozi nk

Ushauri kwa Rais Samia: Nafasi za uteuzi wa Ma DED na wakuu wa taasisi amwachie Dkt. Mpango huku yeye akibaki na Ma DC, RC, Mabalozi nk

Habari zenu Wana wa JF siasa.
Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.

Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.

Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, Ras, Das, nk.
Utueuzi, kwa mujibu wa katiba, ni wa Rais
 
Mshaurini kwamba atoe kipaumbele kwa watu walio soma Economics, Planning 'corporate planning', Finance, Business Administration, na field nyingine zinazofana nana hizo.

Mifano:
NSSF, PSSF & WCF - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: Labour Economics

TPDC, PURA & EWURA - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu za uzamivu /& uzamili: Natural Resource & Environmental Economics

Hata mabalozi wenyewe - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: International Economics

Wakurugenzi wa Halmashauri na Makatibu Tawala wa Mikoa - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: Labour Economics/ au Public Finance
Kuna dalili kuwa unajipigia promo!
 
Habari zenu Wana wa JF siasa.
Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.

Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.

Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, Ras, Das, nk.
Kwani katiba inasemaje au nyie ndio wale mnaomuingiza chaka Mama
 
Mimi namshauri Rais Samia aweke full time surveillance kwa makamu wake na activity zake zote.
Huenda waliomshauri kumuweka Mpango kwa makusudi au bahati mbaya wameweka tatizo litakalojifunua taratibu as time goes on.
Na hizi post za aina hii huenda zikawa nyingi humu za kumtaka Mpango awe kama ndio kila kitu serikalini.
Mama nadhani umeingia chaka kwa huyu V.P
Be careful.
Acha wasiwasi na woga wewe!
 
Huna haya wala adabu..
Mpango ana kitu gani special?

Au unafikiri teuzi Rais anateua Kwa kuwa anawajua?
Anapewa majina na washauri..
Hata mpango Hana anaowajua..

Una akili ndogo sana kumbe
Ndiyo unitukane hivyo! Pita kimyakmya.
 
Akifanya hivyo atakuwa kavunja Katiba

Makamu wa Rais kazi yake ni kushauri tu, Uteuzi wa nafasi zote ulizotaja ni kazi ya Rais
Nilishauri amkasimishe. Anaruhusiwa kikatiba.
 
Mamlaka ya uteuzi ni moja tu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Serikali siyo ghetto la masela kila mtu ana mamlaka ya kufanya anavyopenda.
Nashauri amkasimishe hayo mamlaka kwa Dr Mpango. VP ni jembe Sana, sidhani Kama Kuna DED ataleta ujingaujinga.
 
Kwaiyo unataka kutuaminisha kwa Rais hawezi kuteuwa hao wakurugenzi wenye sifa Hadi amwachie hilo jukumu VP? Acha dharau wewe,mjinga mkubwa. Mbona maraisi waliopita kabla yake hamkuwashauri huo utumbo wenu?
kunywa maji punguza hasira, jamiiforums tunabishana kwa hoja sio matusi
 
Habari zenu Wana wa JF siasa.

Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.

Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.

Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
Yaani una mshauri raisi asaidiwe kuteua watu wa maana na yeye abaki kuteua vilaza aina ya Sabaya? 🤣
 
Huna haya wala adabu..
Mpango ana kitu gani special?

Au unafikiri teuzi Rais anateua Kwa kuwa anawajua?
Anapewa majina na washauri..
Hata mpango Hana anaowajua..

Una akili ndogo sana kumbe
Wengi wanafikiri rais ndiye anayefanya poaching ya hao watu.
 
Mkuu upo kitengo nyeti sana hao wote unawajua madhaifu yao!
Hongera
Tamisemi...kuna vijana pale wanawafahamu maded na madc wao nje ndani.

Rais aombe vetting tu kutoka pale uone maded watakavyoliwa vichwa.

Jamaa wanafanya nao kazi kwa karibu usiku na mchana. Orodha ya viladha asubh tu ishamfikia.
 
Itapendeza Sana wakitoa ushauri.
 
Back
Top Bottom