Utueuzi, kwa mujibu wa katiba, ni wa RaisHabari zenu Wana wa JF siasa.
Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.
Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.
Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, Ras, Das, nk.
Kuna dalili kuwa unajipigia promo!Mshaurini kwamba atoe kipaumbele kwa watu walio soma Economics, Planning 'corporate planning', Finance, Business Administration, na field nyingine zinazofana nana hizo.
Mifano:
NSSF, PSSF & WCF - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: Labour Economics
TPDC, PURA & EWURA - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu za uzamivu /& uzamili: Natural Resource & Environmental Economics
Hata mabalozi wenyewe - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: International Economics
Wakurugenzi wa Halmashauri na Makatibu Tawala wa Mikoa - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: Labour Economics/ au Public Finance
Kwani katiba inasemaje au nyie ndio wale mnaomuingiza chaka MamaHabari zenu Wana wa JF siasa.
Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.
Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.
Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, Ras, Das, nk.
Acha wasiwasi na woga wewe!Mimi namshauri Rais Samia aweke full time surveillance kwa makamu wake na activity zake zote.
Huenda waliomshauri kumuweka Mpango kwa makusudi au bahati mbaya wameweka tatizo litakalojifunua taratibu as time goes on.
Na hizi post za aina hii huenda zikawa nyingi humu za kumtaka Mpango awe kama ndio kila kitu serikalini.
Mama nadhani umeingia chaka kwa huyu V.P
Be careful.
Ndiyo unitukane hivyo! Pita kimyakmya.Huna haya wala adabu..
Mpango ana kitu gani special?
Au unafikiri teuzi Rais anateua Kwa kuwa anawajua?
Anapewa majina na washauri..
Hata mpango Hana anaowajua..
Una akili ndogo sana kumbe
Nilishauri amkasimishe. Anaruhusiwa kikatiba.Akifanya hivyo atakuwa kavunja Katiba
Makamu wa Rais kazi yake ni kushauri tu, Uteuzi wa nafasi zote ulizotaja ni kazi ya Rais
Muda utaongea.Acha wasiwasi na woga wewe!
Nashauri amkasimishe hayo mamlaka kwa Dr Mpango. VP ni jembe Sana, sidhani Kama Kuna DED ataleta ujingaujinga.Mamlaka ya uteuzi ni moja tu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Serikali siyo ghetto la masela kila mtu ana mamlaka ya kufanya anavyopenda.
Nikimbie kipi Sasa mdau?Muda utaongea.
Ntakuja kukutafuta humu,usinikimbie.
Mpango kazi yake ni kumpa company rais kazi ya uteuzi ni ya rais.Nashauri amkasimishe hayo mamlaka kwa Dr Mpango. VP ni jembe Sana, sidhani Kama Kuna DED ataleta ujingaujinga.
kunywa maji punguza hasira, jamiiforums tunabishana kwa hoja sio matusiKwaiyo unataka kutuaminisha kwa Rais hawezi kuteuwa hao wakurugenzi wenye sifa Hadi amwachie hilo jukumu VP? Acha dharau wewe,mjinga mkubwa. Mbona maraisi waliopita kabla yake hamkuwashauri huo utumbo wenu?
Yaani una mshauri raisi asaidiwe kuteua watu wa maana na yeye abaki kuteua vilaza aina ya Sabaya? 🤣Habari zenu Wana wa JF siasa.
Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.
Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.
Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
Nikimbie kipi Sasa mdau?Muda utaongea.
Ntakuja kukutafuta humu,usinikimbie.
Wengi wanafikiri rais ndiye anayefanya poaching ya hao watu.Huna haya wala adabu..
Mpango ana kitu gani special?
Au unafikiri teuzi Rais anateua Kwa kuwa anawajua?
Anapewa majina na washauri..
Hata mpango Hana anaowajua..
Una akili ndogo sana kumbe
Tamisemi...kuna vijana pale wanawafahamu maded na madc wao nje ndani.Mkuu upo kitengo nyeti sana hao wote unawajua madhaifu yao!
Hongera
Sasa Kama Kuna jopo lifanyayo hiyo kazi, mbona tunaletewa watu wa hovyo.Wengi wanafikiri rais ndiye anayefanya poaching ya hao watu.
Itapendeza Sana wakitoa ushauri.Tamisemi...kuna vijana pale wanawafahamu maded na madc wao nje ndani.
Rais aombe vetting tu kutoka pale uone maded watakavyoliwa vichwa.
Jamaa wanafanya nao kazi kwa karibu usiku na mchana. Orodha ya viladha asubh tu ishamfikia.