Mwache Mhe.Rais atekeleze majukumu yake kwa mujibu was katiba ya nchi na so vinginevyo.Habari zenu Wana wa JF siasa.
Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.
Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.
Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
Kusoma hizo course sio guarantee ya kudeliver Output nzuri field, Kumbuka nafasi za kiungozi nyingi sio za kiutendaji bali na maono na ku oversee operation at largeMshaurini kwamba atoe kipaumbele kwa watu walio soma Economics, Planning 'corporate planning', Finance, Business Administration, na field nyingine zinazofana nana hizo.
Mifano:
NSSF, PSSF & WCF - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: Labour Economics
TPDC, PURA & EWURA - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu za uzamivu /& uzamili: Natural Resource & Environmental Economics
Hata mabalozi wenyewe - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: International Economics
Wakurugenzi wa Halmashauri na Makatibu Tawala wa Mikoa - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: Labour Economics/ au Public Finance
Hivi yule mpiga band yuko wapi vile ?DC wa Kahama ana shida ipi? Mbona wana Kahama tunaona Anamringi Macha anatosha?
Mabalozi ateue wliosoma Bachelor of Arts - majoring in International Relations and Diplomacy. Waliosoma Economics, Business Administration wataform part of technical technical team.Mshaurini kwamba atoe kipaumbele kwa watu walio soma Economics, Planning 'corporate planning', Finance, Business Administration, na field nyingine zinazofana nana hizo.
Mifano:
NSSF, PSSF & WCF - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: Labour Economics
TPDC, PURA & EWURA - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu za uzamivu /& uzamili: Natural Resource & Environmental Economics
Hata mabalozi wenyewe - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: International Economics
Wakurugenzi wa Halmashauri na Makatibu Tawala wa Mikoa - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: Labour Economics/ au Public Finance
Serengeti,nurdin Babu Ana tatizo gani mkuuKatika uteuzi wa madc, ninaomba awaondoe madc walioko wilaya zifuatazo;- nyangwale, bukombe, Geita vijijini, Geita mjini, Kahama,nzega,igunga, dodoma jiji, kibaha, meru, siha, Rombo,same, Hai, simanjiro,kiteto, mbulu, serengeti,Tarime, mkoa wa Mwanza wote.chato na Ruangwa.
Teuzi zinafanywa na rais, siyo makamu! Makamu yy atashauri tuHabari zenu Wana wa JF siasa.
Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.
Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.
Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
Hivi unajua kazi ya Mpango ni Mazingira, Porojo za Muungano na kuzindua ambako Rais hana nafasi ya kwenda???Habari zenu Wana wa JF siasa.
Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.
Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.
Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
Hilo chapuo mkuu du, hebu declare interest!Mabalozi ateue wliosoma Bachelor of Arts - majoring in International Relations and Diplomacy. Waliosoma Economics, Business Administration wataform part of technical technical team.
Hali kadhalika, kwa upande wa ma-DED au Katibu tawala wa mikoa au wilaya ateue waliosoma Bachelor of Arts in Public Administration au Human Resource. Waliosoma Business Administration, Economics wataform part of technical team.
Magufuli aliteua PhD kila kona, umeona impact yotote ya maaana kwenye sehemu walizoshika??? Kunambi alifanya vuzuri Dodoma unajua Elimu yake??Mshaurini kwamba atoe kipaumbele kwa watu walio soma Economics, Planning 'corporate planning', Finance, Business Administration, na field nyingine zinazofana nana hizo.
Mifano:
NSSF, PSSF & WCF - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: Labour Economics
TPDC, PURA & EWURA - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu za uzamivu /& uzamili: Natural Resource & Environmental Economics
Hata mabalozi wenyewe - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: International Economics
Wakurugenzi wa Halmashauri na Makatibu Tawala wa Mikoa - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: Labour Economics/ au Public Finance
Wanataka awakumbuke Ziwa Magharibi kidogoTimu JPM inamuogopa Samia kuliko Mpango aliyetangaza wazi kuendelea kumuenzi Mwendazake.
Tulieni, Urais hauna ushkaji, Mamlaka za uteuzi za hao watu ni Rais siyo Mpango
Rais wa nchi hawezi kutoa ushauri wa namna yoyote ile, yeye ndo anashauriwa kisheria then anaamua au kuagiza. Anaweza kuamua pia kama hajakubaliana na ushauri husika.Mpango apendekeze alafu Rais anaruhusu au kutoa ushauri
Hahahaaaa...... Mwenyekiti wa bodi ya uteuzi awe mkuu Pascal Mayalla!Itabidi tumuombe mama awachie members wa jf wao ndiyo wateue ma RC,DC ,DED
Au unasemaje bwashee
johnthebaptist
Ova
"Mimi sishauriki" JiweKwani Magufuli alikuwa anamwachia mama Samia kuteua!
Acha hizo wewe!
Huo ndio ukweli wenyewe rafiki😆😆😆😆Hilo chapuo mkuu du, hebu declare interest!
Mie nafikiri ateue wanasayansi, madaktari nk!
Makamu wa rais hana mamlaka yoyote ya kumteuwa mtu yeyote, hata kwenye wizara ya muungano ambayo iko chini yake hana mamlaka hayo kikatiba na kisheria. Makamu wa rais ni 'ceremonial capacity without authority to hire and fire'. Anashauri kwa rais nani anafaa na nani hafai kwa sababu gani kisha rais akiridhika kwa kutazama maslahi mapana ya taifa anaweza kuchukua hatua lakini sio makamu wa ajivike mamlaka kuteua na kutengua 'unless' sheria irekebishwe, na hapo ndipo migogoro kati ya rais na makamu wake itakapo dhihirika bayana maana mapapa wawili wataoneshana misuli.Habari zenu Wana wa JF siasa.
Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.
Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.
Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
KwaniniCcm itafia mikononi kwà huyu mama.trust me