Ushauri kwa Rais Samia: Nafasi za uteuzi wa Ma DED na wakuu wa taasisi amwachie Dkt. Mpango huku yeye akibaki na Ma DC, RC, Mabalozi nk

Habari zenu Wana wa JF siasa.

Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.

Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.

Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
Mwache Mhe.Rais atekeleze majukumu yake kwa mujibu was katiba ya nchi na so vinginevyo.
 
Mshaurini kwamba atoe kipaumbele kwa watu walio soma Economics, Planning 'corporate planning', Finance, Business Administration, na field nyingine zinazofana nana hizo.

Mifano:
NSSF, PSSF & WCF - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: Labour Economics

TPDC, PURA & EWURA - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu za uzamivu /& uzamili: Natural Resource & Environmental Economics

Hata mabalozi wenyewe - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: International Economics

Wakurugenzi wa Halmashauri na Makatibu Tawala wa Mikoa - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: Labour Economics/ au Public Finance
Kusoma hizo course sio guarantee ya kudeliver Output nzuri field, Kumbuka nafasi za kiungozi nyingi sio za kiutendaji bali na maono na ku oversee operation at large
 
Mshaurini kwamba atoe kipaumbele kwa watu walio soma Economics, Planning 'corporate planning', Finance, Business Administration, na field nyingine zinazofana nana hizo.

Mifano:
NSSF, PSSF & WCF - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: Labour Economics

TPDC, PURA & EWURA - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu za uzamivu /& uzamili: Natural Resource & Environmental Economics

Hata mabalozi wenyewe - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: International Economics

Wakurugenzi wa Halmashauri na Makatibu Tawala wa Mikoa - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: Labour Economics/ au Public Finance
Mabalozi ateue wliosoma Bachelor of Arts - majoring in International Relations and Diplomacy. Waliosoma Economics, Business Administration wataform part of technical technical team.

Hali kadhalika, kwa upande wa ma-DED au Katibu tawala wa mikoa au wilaya ateue waliosoma Bachelor of Arts in Public Administration au Human Resource. Waliosoma Business Administration, Economics wataform part of technical team.
 
Katika uteuzi wa madc, ninaomba awaondoe madc walioko wilaya zifuatazo;- nyangwale, bukombe, Geita vijijini, Geita mjini, Kahama,nzega,igunga, dodoma jiji, kibaha, meru, siha, Rombo,same, Hai, simanjiro,kiteto, mbulu, serengeti,Tarime, mkoa wa Mwanza wote.chato na Ruangwa.
Serengeti,nurdin Babu Ana tatizo gani mkuu
 
Habari zenu Wana wa JF siasa.

Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.

Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.

Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
Teuzi zinafanywa na rais, siyo makamu! Makamu yy atashauri tu
 
Unaandika ujinga mtupu, huyo mpango ashughulikie na mazingira na warsha za kukata utepe
 
Habari zenu Wana wa JF siasa.

Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.

Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.

Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
Hivi unajua kazi ya Mpango ni Mazingira, Porojo za Muungano na kuzindua ambako Rais hana nafasi ya kwenda???
 
Mabalozi ateue wliosoma Bachelor of Arts - majoring in International Relations and Diplomacy. Waliosoma Economics, Business Administration wataform part of technical technical team.

Hali kadhalika, kwa upande wa ma-DED au Katibu tawala wa mikoa au wilaya ateue waliosoma Bachelor of Arts in Public Administration au Human Resource. Waliosoma Business Administration, Economics wataform part of technical team.
Hilo chapuo mkuu du, hebu declare interest!
Mie nafikiri ateue wanasayansi, madaktari nk!
 
Mshaurini kwamba atoe kipaumbele kwa watu walio soma Economics, Planning 'corporate planning', Finance, Business Administration, na field nyingine zinazofana nana hizo.

Mifano:
NSSF, PSSF & WCF - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: Labour Economics

TPDC, PURA & EWURA - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu za uzamivu /& uzamili: Natural Resource & Environmental Economics

Hata mabalozi wenyewe - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: International Economics

Wakurugenzi wa Halmashauri na Makatibu Tawala wa Mikoa - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: Labour Economics/ au Public Finance
Magufuli aliteua PhD kila kona, umeona impact yotote ya maaana kwenye sehemu walizoshika??? Kunambi alifanya vuzuri Dodoma unajua Elimu yake??
 
Mpango apendekeze alafu Rais anaruhusu au kutoa ushauri
Rais wa nchi hawezi kutoa ushauri wa namna yoyote ile, yeye ndo anashauriwa kisheria then anaamua au kuagiza. Anaweza kuamua pia kama hajakubaliana na ushauri husika.
Kikatiba VP hana uwezo wowote wa kuteua DEDs au Wakuu wa Taasisi au Idara.
 
Hilo chapuo mkuu du, hebu declare interest!
Mie nafikiri ateue wanasayansi, madaktari nk!
Huo ndio ukweli wenyewe rafiki😆😆😆😆

Tuwaache wanasayansi wakafanye tafiti mbalimbali kwenye research centers zao ili kuleta mapinduzi chanya kwenye suala zima la maendeleo kama wanavyofanya wenzetu huko ughaibuni kama kweli tunaheshimu taaluma za watu.

Ma-daktari pia hebu waachwe wakaendelee na taaluma zao za kutibu wagonjwa au kufanya tafiti.
 
Habari zenu Wana wa JF siasa.

Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.

Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.

Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
Makamu wa rais hana mamlaka yoyote ya kumteuwa mtu yeyote, hata kwenye wizara ya muungano ambayo iko chini yake hana mamlaka hayo kikatiba na kisheria. Makamu wa rais ni 'ceremonial capacity without authority to hire and fire'. Anashauri kwa rais nani anafaa na nani hafai kwa sababu gani kisha rais akiridhika kwa kutazama maslahi mapana ya taifa anaweza kuchukua hatua lakini sio makamu wa ajivike mamlaka kuteua na kutengua 'unless' sheria irekebishwe, na hapo ndipo migogoro kati ya rais na makamu wake itakapo dhihirika bayana maana mapapa wawili wataoneshana misuli.
 
Back
Top Bottom