Ushauri kwa Rais Samia: Nafasi za uteuzi wa Ma DED na wakuu wa taasisi amwachie Dkt. Mpango huku yeye akibaki na Ma DC, RC, Mabalozi nk

dmkali umeshausoma huu uzi? Sisi watanzania ni wajuaji juaji sana.
 
Mkuu Hilo ni swala la kikatiba,mwenye jukumu la kutwa kuchagua jada hizo za kazi ni raisi na si vinginevyo.
 
Serengeti nawaonea huruma wananchi wanavyoteseka.
Hakuna maji safi na salama, miundombinu ya barabara mibovu.

Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
 
Kwani Magufuli alikuwa anamwachia mama Samia kuteua!

Acha hizo wewe!
Hahahaaa haya mambo almanusura yamtokee puani Mkwere kwa mshikaji wake mamvi

"The buck stops with her"...... Anate nao na biti bampa tu bampa tu
 
Kwa kua fani zingine hawastahili kuwa viongozi ama?.

Lipumba kasaidiaje hii nchi na hio Economics?.
 
Huyo jamaa ni fisadi, achilia kuachiliwa kutea, yeye mwenyewe anahitajika kutumbuliwa Hafia kabisa.
 
katiba haipi mamlaka hayo VP,,hata hivyo maoni yako hayafai siyo peremende wagawane ni swala la kisheria
 
Naona kama tutakuwa ama tunavuka mipaka ama tunayo maslahi binafsi kwa tunayemtetea apewe majukumu pengine tukifikiri ama kuona kwamba huyo mtu tunayempigia chapuo angetupendelea flani hivi.ama wewe labda upo jikoni huko unafahamu VP anashirikishwa yapi na lipi hashirikishwi? Kwani marais waliotangulia walikuwa wakifanya teusi zipi na ni zipi waliacha kwa nani afanye? Liliharibika ama litaharibika lipi akifanya teuzi yeye mwenyewe rais?hata kama unayempigania ni rafiki,ndugu ama kabila yako ni bora ukawa kimya ukaacha taasisi ikatekeleza majukumu yake.
tukishaingia hadi kumshauri rais namna ya kupanga kazi na majukumu yake na nani ampe kazi gani hii sasa si sawa hata kama tunatamani iwe hivyo basi ficha tamaa zako na pia amini kwamba rais SSH anaweza na usisahau kwamba ni rais mwenye uwezo wa kupanga na kufanya pamoja na kwamba yeye ni wa jinsia ya kike.
 
Magufuli alikua anamuachia mama samia kuteua?acha upumbavu na dharau za kimasikin
 

Kwasababu Mpango ni pro jiwe? Kazi za uteuzi ni ya Rais sio vp.
 
No way. She has to fully take charge with others as advisors.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…