Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
- #121
PhD ya Uchumi afanye kazi za hovyo namna hiyo?Unaandika ujinga mtupu, huyo mpango ashughulikie na mazingira na warsha za kukata utepe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PhD ya Uchumi afanye kazi za hovyo namna hiyo?Unaandika ujinga mtupu, huyo mpango ashughulikie na mazingira na warsha za kukata utepe
dmkali umeshausoma huu uzi? Sisi watanzania ni wajuaji juaji sana.Habari zenu Wana wa JF siasa.
Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.
Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.
Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
Mkuu Hilo ni swala la kikatiba,mwenye jukumu la kutwa kuchagua jada hizo za kazi ni raisi na si vinginevyo.Habari zenu Wana wa JF siasa.
Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.
Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.
Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
Serengeti nawaonea huruma wananchi wanavyoteseka.Katika uteuzi wa madc, ninaomba awaondoe madc walioko wilaya zifuatazo;- nyangwale, bukombe, Geita vijijini, Geita mjini, Kahama,nzega,igunga, dodoma jiji, kibaha, meru, siha, Rombo,same, Hai, simanjiro,kiteto, mbulu, serengeti,Tarime, mkoa wa Mwanza wote.chato na Ruangwa.
Hahahaaa haya mambo almanusura yamtokee puani Mkwere kwa mshikaji wake mamviKwani Magufuli alikuwa anamwachia mama Samia kuteua!
Acha hizo wewe!
Kwa kua fani zingine hawastahili kuwa viongozi ama?.Mshaurini kwamba atoe kipaumbele kwa watu walio soma Economics, Planning 'corporate planning', Finance, Business Administration, na field nyingine zinazofana nana hizo.
Mifano:
NSSF, PSSF & WCF - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: Labour Economics
TPDC, PURA & EWURA - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu za uzamivu /& uzamili: Natural Resource & Environmental Economics
Hata mabalozi wenyewe - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: International Economics
Wakurugenzi wa Halmashauri na Makatibu Tawala wa Mikoa - shahada ya kwanza: BA in Economics, elimu ya uzamivu /& uzamili: Labour Economics/ au Public Finance
katiba haipi mamlaka hayo VP,,hata hivyo maoni yako hayafai siyo peremende wagawane ni swala la kisheriaHabari zenu Wana wa JF siasa.
Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.
Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.
Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
Habari zenu Wana wa JF siasa.

Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS,
Naona kama tutakuwa ama tunavuka mipaka ama tunayo maslahi binafsi kwa tunayemtetea apewe majukumu pengine tukifikiri ama kuona kwamba huyo mtu tunayempigia chapuo angetupendelea flani hivi.ama wewe labda upo jikoni huko unafahamu VP anashirikishwa yapi na lipi hashirikishwi? Kwani marais waliotangulia walikuwa wakifanya teusi zipi na ni zipi waliacha kwa nani afanye? Liliharibika ama litaharibika lipi akifanya teuzi yeye mwenyewe rais?hata kama unayempigania ni rafiki,ndugu ama kabila yako ni bora ukawa kimya ukaacha taasisi ikatekeleza majukumu yake.Habari zenu Wana wa JF siasa.
Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.
Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.
Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
Mpango ni mbovu kuliko watu wote
Magufuli alikua anamuachia mama samia kuteua?acha upumbavu na dharau za kimasikinHabari zenu Wana wa JF siasa.
Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.
Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk.
Rais Samia Suluhu abaki na uteuzi wa ma DC, RC, Mabalozi, RAS, DAS, nk.
SureWATU HAWAMJUI TU!!

No way. She has to fully take charge with others as advisors.Habari zenu Wana wa JF siasa.