Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Sep 2, 2022 #21 Hakika...
The MoNA JF-Expert Member Joined Sep 19, 2014 Posts 4,168 Reaction score 10,184 Sep 2, 2022 #22 NAMBA MOJA AJAYE NCHINI said: Ndiyo Mimi niombeeni jamani!! Click to expand... Amina. PM wako niko hapa.
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI said: Ndiyo Mimi niombeeni jamani!! Click to expand... Amina. PM wako niko hapa.
The MoNA JF-Expert Member Joined Sep 19, 2014 Posts 4,168 Reaction score 10,184 Sep 2, 2022 #23 mzabzab said: Na hatamaliza muda wake madarakani Click to expand... Ipo wazi mkuu. La sivyo awe mtu wa Mungu kweli kweli au awe wa gizani kweli kweli. Awe na mfumo makini na imara kweli kweli uliojaa wazalendo tupu.
mzabzab said: Na hatamaliza muda wake madarakani Click to expand... Ipo wazi mkuu. La sivyo awe mtu wa Mungu kweli kweli au awe wa gizani kweli kweli. Awe na mfumo makini na imara kweli kweli uliojaa wazalendo tupu.
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 41,878 Reaction score 81,593 Sep 2, 2022 #24 The MoNA said: Ipo wazi mkuu. La sivyo awe mtu wa Mungu kweli kweli au awe wa gizani kweli kweli. Awe na mfumo makini na imara kweli kweli uliojaa wazalendo tupu. Click to expand... Anatakiwa awe kama fidel castro...yaani mtu wa gwanda na kila leo anabadilisha chupi na gwanda🤣🤣🤣🤣🤣 Akisafiri awe anasafiri kama hitler, yaani train, ndege, motorcade hadi meli vipo standby. Last minute anabadilisha form of transport
The MoNA said: Ipo wazi mkuu. La sivyo awe mtu wa Mungu kweli kweli au awe wa gizani kweli kweli. Awe na mfumo makini na imara kweli kweli uliojaa wazalendo tupu. Click to expand... Anatakiwa awe kama fidel castro...yaani mtu wa gwanda na kila leo anabadilisha chupi na gwanda🤣🤣🤣🤣🤣 Akisafiri awe anasafiri kama hitler, yaani train, ndege, motorcade hadi meli vipo standby. Last minute anabadilisha form of transport