Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina.Ndiyo Mimi niombeeni jamani!!
Ipo wazi mkuu. La sivyo awe mtu wa Mungu kweli kweli au awe wa gizani kweli kweli.Na hatamaliza muda wake madarakani
Anatakiwa awe kama fidel castro...yaani mtu wa gwanda na kila leo anabadilisha chupi na gwanda🤣🤣🤣🤣🤣Ipo wazi mkuu. La sivyo awe mtu wa Mungu kweli kweli au awe wa gizani kweli kweli.
Awe na mfumo makini na imara kweli kweli uliojaa wazalendo tupu.