NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Ni ushauri wangu wa Mwisho kukupa hutaki unaacha!
Mmekopa kushusha bei ya mafuta Ili bidhaa zishuke lakini wapi!
Mmemnanga marehemu Sana lakini wapi,
Mmetoa ahadi za uongo Napo pia wapi!!bila bila!!Leo nimeulizia gunia la mahindi,bati,simenti na sukari nikasema Hadi januari lazima mchutame tu hakuna Namna nyeti zitaonekana laivu bila chenga!!
Sasa wewe ni Mwanasiasa mlamba asali!inatosha Sasa fanya hima uokoe kichwa!
Punguza mishahara ya wanasiasa wapate angalau robo ya wanachopata Sasa hivi,ondoa posho zote !mikopo yote ya wanasiasa na walipe kodi rasmi ya huo mshahara maana siasa ndio kichaka cha fedha nyingi NCHI HII!!
Halafu peleka fedha zote KWENYE mafuta na unda squad ya siri kufuatilia wafanyabiashara wanao hujumu Bei washughulikiwe kisawa sawa!!
Pia ondoa walamba asali weka vyuma haswa Ili kusimamia uchumi!Ondoa Mwigulu aende akachore mawe huko,ondoa makamba aende beach huko akavinjari,Ondoa na nape akabangue korosho huko!!
Pia tuletee ripoti ya fedha za hazina ulizorithi kutoka kwa shujaa Ili tujue kwanini unakopa tuu bila kukoma hadi nchi inakaribia shimoni!weka wazi report ile Ili wachumi wazalendo wakusaidie kuliongoza Taifa.
Weka watu wanaotema cheche wenye kueleweka kwenye wizara za Fedha,habari na nishati!!
Rudisha H.pole pole kwenye nafasi yake aondoe wahuni Halafu omba msamaha kwa kukopa hovyo bila tija maana hiyo mikopo haijamsaidia mwananchi!!
Piga u-turn ya kufa mtu!uje unishukuru Baadae humu humu jf!!
Pia jitahidi umrudishe Warioba kwenye KAZI yake huyo mkandala Mwambie arudi Udsm akafundishe hapo hapamfai!!!
Nimemaliza!
Ni mimi mzalendo!!