Ushauri kwa Sabaya: Acha! Huko unakokwenda siko

Mzalendo Uchwara

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2020
Posts
4,437
Reaction score
13,836
Kijana Sabaya hayo unayoropoka mahakamani hayana faida kwako wala kwa hao unaowataja.

Kama bosi wako alikua anakutuma kufanya ujambazi na wewe ukadhani unayo kinga kama yeye basi huo ulikua ni upumbavu wako.

Ulipaswa kutekeleza majukumu hayo kwa akili ja weledi wa hali ya juu bila kujiweka matatizoni.

Kwenye umafia kuna kitu kinaitwa 'tying loose ends'. Hao unaowataja taja mahakamani kuwa walikua wanakutuma kwenye uhalifu wako hawawezi kulifurahia kupakwa tope la ujambazi wako.

They will be forced to tie loose ends, which is you and your little gang of stooges. Be a pro, take a fall for the team and go quietly, your bosses might remember you after a while and rescue you.
 
Kama bosi wako alikua anakutuma kufanya ujambazi na wewe ukadhani unayo kinga kama yeye basi huo ulikua ni upumbavu wako...
Aliyesema sabaya achunguzwe ,asimamishwe KAZI na ashtakiwe nani? Mbona naona kama Makamu WA Rais anakwenda kuwa shahidi WA kumtetea sabaya mahakamani?
 
Ajifunze kutoka kwenye historia. Waropokaji wengi hua wanaishia mahabusu.

Tuache utani kuwataja top officials kirahisi namna ile kwa mtu kama yeye aliekula kiapo sijui aliwaza nini, haya ni kweli alitumwa kufanya ile mission lazima kuna vyombo vina taarifa kwahiyo end of the day wangemtema lakini tatizo ana kiwewe karopokwa tena anataja hadi waliopo bado madarakani hapo kishawachafua tayari sijui lakini itakula kwake
 
Kijana Sabaya hayo unayoropoka mahakamani hayana faida kwako wala kwa hao unaowataja.

Kama bosi wako alikua anakutuma kufanya ujambazi na wewe ukadhani unayo kinga kama yeye basi huo ulikua ni upumbavu wako.

Ulipaswa kutekeleza majukumu hayo kwa akili ja weledi wa hali ya juu bila kujiweka matatizoni.

Kwenye umafia kuna kitu kinaitwa 'tying loose ends'. Hao unaowataja taja mahakamani kuwa walikua wanakutuma kwenye uhalifu wako hawawezi kulifurahia kupakwa tope la ujambazi wako.

They will be forced to tie loose ends, which is you and your little gang of stooges. Be a pro, take a fall for the team and go quietly, your bosses might remember you after a while and rescue you.

Kama bosi wako alikua anakutuma kufanya ujambazi na wewe ukadhani unayo kinga kama yeye basi huo ulikua ni upumbavu wako
 
Issue ni kwamba anawachafua tu lakini nina uhakika hana credible and reliable evidence kwasababu hata kama ni kweli basi alikuwa anapigiwa tu simu na kupewa maelekezo naye akawa anaingia mzima mzima, atulize tu mshono afe kiume. Hizo mambo za kuanza kutaja majina makubwa haiwezi kuwa kinga kwake na sio sababu ya yeye kutenda makosa ya wazi. Ina maana wangemwambia ainame na chupi mkononi angeinama?
 
Kijana Sabaya hayo unayoropoka mahakamani hayana faida kwako wala kwa hao unaowataja.

Kama bosi wako alikua anakutuma kufanya ujambazi na wewe ukadhani unayo kinga kama yeye basi huo ulikua ni upumbavu wako.

Ulipaswa kutekeleza majukumu hayo kwa akili ja weledi wa hali ya juu bila kujiweka matatizoni.

Kwenye umafia kuna kitu kinaitwa 'tying loose ends'. Hao unaowataja taja mahakamani kuwa walikua wanakutuma kwenye uhalifu wako hawawezi kulifurahia kupakwa tope la ujambazi wako.

They will be forced to tie loose ends, which is you and your little gang of stooges. Be a pro, take a fall for the team and go quietly, your bosses might remember you after a while and rescue you.

...tying loose ends'.kukaza vifundo vilivyolegea....
They will be forced to tie loose ends, which is you and your little gang of stooges. Be a pro, take a fall for the team and go quietly, your bosses might remember you after a while and rescue you...!
 
Issue ni kwamba anawachafua tu lakini nina uhakika hana credible and reliable evidence kwasababu hata kama ni kweli basi alikuwa anapigiwa tu simu na kupewa maelekezo naye akawa anaingia mzima mzima, atulize tu mshono afe kiume. Hizo mambo za kuanza kutaja majina makubwa haiwezi kuwa kinga kwake na sio sababu ya yeye kutenda makosa ya wazi. Ina maana wangemwambia ainame na chupi mkononi angeinama?

Nachojua hakuna alipopigiwa simu kuagizwa hayo, isipokua majina aliyotaja kamwe haya wezi kusimama mahakamani kutoa ushahidi so anahisi atachomokea hapo
 
Huyo hana tena cha kupoteza, na ndio maana kaona aseme liwalo na liwe.
Nimefurahi sana Mpango na Luoga kutajwa , waje wajitetee tuone , tulionya kuhusu uteuzi wa Dr Mpango kuwa Makamu wa Rais , hii ni kwa sababu huyu alihusika na uporaji wote wa fedha za watu kuanzia kwenye akaunti zao hadi Bureu De Change
 
Tuache utani kuwataja top officials kirahisi namna ile kwa mtu kama yeye aliekula kiapo sijui aliwaza nini, haya ni kweli alitumwa kufanya ile mission lazima kuna vyombo vina taarifa kwahiyo end of the day wangemtema lakini tatizo ana kiwewe karopokwa tena anataja hadi waliopo bado madarakani hapo kishawachafua tayari sijui lakini itakula kwake
Tukisema Vijana wa ccm wajinga wajinga mtuelewe.

Katiba mpya ni suluhisho la matatizo ya nchi hii
 
Kijana Sabaya hayo unayoropoka mahakamani hayana faida kwako wala kwa hao unaowataja.

Kama bosi wako alikua anakutuma kufanya ujambazi na wewe ukadhani unayo kinga kama yeye basi huo ulikua ni upumbavu wako.

Ulipaswa kutekeleza majukumu hayo kwa akili ja weledi wa hali ya juu bila kujiweka matatizoni.

Kwenye umafia kuna kitu kinaitwa 'tying loose ends'. Hao unaowataja taja mahakamani kuwa walikua wanakutuma kwenye uhalifu wako hawawezi kulifurahia kupakwa tope la ujambazi wako.

They will be forced to tie loose ends, which is you and your little gang of stooges. Be a pro, take a fall for the team and go quietly, your bosses might remember you after a while and rescue you.
Na akileta ujinga atamaliziwa huko huko,, yeye anajibu utafikiri bado ni mkuu wa wilaya...
 
Back
Top Bottom