Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
Keshawataja ngoja tuone mahakama itasemaje
sheria msumeno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keshawataja ngoja tuone mahakama itasemaje
... sasa hivi naona mna-cite cases hadi za tangu enzi Nazi au sio? Tanzania si dola huru na ina sheria na mahakama zake yenyewe? Kesi za Nazi na Tanzania wapi na wapi? At least the Commonwealth could make sense if it would have been in your (CCM) favor but non-sense otherwise!Order from the above.....
hiyo sio defence wafatilie NAZI Nurambeg Trials askari wa Hitler walivyokutwa na hatia na hatimae kunyongwa.......
Hapo kashajifunga sababu kasema alitumwa so inamaana alitekelez kilakitu
Jo vema ukakaa kimya tuuUjambazi ni tafsiri yako!
unacho kiandika hasingeweza kukifanya.....usidhani ni rahisi kama kwenye makampuni makubwaKijana Sabaya hayo unayoropoka mahakamani hayana faida kwako wala kwa hao unaowataja.
Kama bosi wako alikua anakutuma kufanya ujambazi na wewe ukadhani unayo kinga kama yeye basi huo ulikua ni upumbavu wako.
Ulipaswa kutekeleza majukumu hayo kwa akili ja weledi wa hali ya juu bila kujiweka matatizoni.
Kwenye umafia kuna kitu kinaitwa 'tying loose ends'. Hao unaowataja taja mahakamani kuwa walikua wanakutuma kwenye uhalifu wako hawawezi kulifurahia kupakwa tope la ujambazi wako.
They will be forced to tie loose ends, which is you and your little gang of stooges. Be a pro, take a fall for the team and go quietly, your bosses might remember you after a while and rescue you.
... more precisely; anamaanisha yeye ni mbuzi wa kafara tu maana alikuwa anatumwa na amiri jeshi Mkuu mwenye majeshi na zana zote. Kuna tofauti gani na utawala wa Idd Amin? Amin angekutuma kweli ukatae? Huwezi kuwa hata na wazo hilo.Kwa lugha nyingine anamaanisha alifanya lakini si kwa utashi wala amri yake...
Kwamba yupo guilty lakini bila kukusudia
Kijana Sabaya hayo unayoropoka mahakamani hayana faida kwako wala kwa hao unaowataja.
Kama bosi wako alikua anakutuma kufanya ujambazi na wewe ukadhani unayo kinga kama yeye basi huo ulikua ni upumbavu wako.
Ulipaswa kutekeleza majukumu hayo kwa akili ja weledi wa hali ya juu bila kujiweka matatizoni.
Kwenye umafia kuna kitu kinaitwa 'tying loose ends'. Hao unaowataja taja mahakamani kuwa walikua wanakutuma kwenye uhalifu wako hawawezi kulifurahia kupakwa tope la ujambazi wako.
They will be forced to tie loose ends, which is you and your little gang of stooges. Be a pro, take a fall for the team and go quietly, your bosses might remember you after a while and rescue you.
Na huyu anaweza mwendo wake akaumalizia huko.Ajifunze kutoka kwenye historia. Waropokaji wengi hua wanaishia mahabusu.
... enzi hizo mtu wa pili kwa mamlaka Kanda ya Kaskazini baada ya Rais Magufuli hajui kidhungu? You must be joking.The best advice he can use, but trust me, hajui kidhungu, andika Swahili version!
Hata sauti za simu ni ushahidi. Acheni kujifanya wenye akili kuliko watu wengine. Someni pia utetezi wa sabaya vizuri.Issue ni kwamba anawachafua tu lakini nina uhakika hana credible and reliable evidence kwasababu hata kama ni kweli basi alikuwa anapigiwa tu simu na kupewa maelekezo naye akawa anaingia mzima mzima, atulize tu mshono afe kiume. Hizo mambo za kuanza kutaja majina makubwa haiwezi kuwa kinga kwake na sio sababu ya yeye kutenda makosa ya wazi. Ina maana wangemwambia ainame na chupi mkononi angeinama?
Kuna wajinga wanamsifia eti ameongea kiume. Mimi nasema pia ameharibu hatari. Huwezi kutumwa ukatende uharifu ,kwenye sheria ikikubana ukategemea kinga ya hao. Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyeweKijana Sabaya hayo unayoropoka mahakamani hayana faida kwako wala kwa hao unaowataja.
Kama bosi wako alikua anakutuma kufanya ujambazi na wewe ukadhani unayo kinga kama yeye basi huo ulikua ni upumbavu wako.
Ulipaswa kutekeleza majukumu hayo kwa akili ja weledi wa hali ya juu bila kujiweka matatizoni.
Kwenye umafia kuna kitu kinaitwa 'tying loose ends'. Hao unaowataja taja mahakamani kuwa walikua wanakutuma kwenye uhalifu wako hawawezi kulifurahia kupakwa tope la ujambazi wako.
They will be forced to tie loose ends, which is you and your little gang of stooges. Be a pro, take a fall for the team and go quietly, your bosses might remember you after a while and rescue you.
Mbona mnaingilia uhuru wa mahakama kushughulikia kesi na uhuru wa mtuhumiwa kujitetea!?Kwenye umafia kuna kitu kinaitwa 'tying loose ends'. Hao unaowataja taja mahakamani kuwa walikua wanakutuma kwenye uhalifu wako hawawezi kulifurahia kupakwa tope la ujambazi wako.
Epstein alijinyonga tu mwenyewe kwa stress akuamini licha ya hela zake angekuwa nyuma ya nondoNa huyu anaweza mwendo wake akaumalizia huko.