Si mjanja kwenye kundi la wanao mteteea kuna wema wake na wabaya wake na hao ndo wanampa namna ya kujitetea wengine wakiwa na motive asiyoijua mimi naona kama waliotajwa hawakutajwa kwa bahati mbaya ni lazima ni mkakati ulio nyuma ya pazia na walengwa ni walio tajwaAnafikiri akimtaja Magufuli basi mchezo umekwisha. Hajui kuwa mahakamani mambo hayapendi hiyo. He is too naive.