Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pagumu hapo Mkuu..natanguliza tu pole kwa OleKijana Sabaya hayo unayoropoka mahakamani hayana faida kwako wala kwa hao unaowataja.
Kama bosi wako alikua anakutuma kufanya ujambazi na wewe ukadhani unayo kinga kama yeye basi huo ulikua ni upumbavu wako.
Ulipaswa kutekeleza majukumu hayo kwa akili ja weledi wa hali ya juu bila kujiweka matatizoni.
Kwenye umafia kuna kitu kinaitwa 'tying loose ends'. Hao unaowataja taja mahakamani kuwa walikua wanakutuma kwenye uhalifu wako hawawezi kulifurahia kupakwa tope la ujambazi wako.
They will be forced to tie loose ends, which is you and your little gang of stooges. Be a pro, take a fall for the team and go quietly, your bosses might remember you after a while and rescue you.
Sabaya wataje wote hata na walio shiriki kuongeza tozo wewe taja tu hauna namna kufa na wote.Kijana Sabaya hayo unayoropoka mahakamani hayana faida kwako wala kwa hao unaowataja.
Kama bosi wako alikua anakutuma kufanya ujambazi na wewe ukadhani unayo kinga kama yeye basi huo ulikua ni upumbavu wako.
Ulipaswa kutekeleza majukumu hayo kwa akili ja weledi wa hali ya juu bila kujiweka matatizoni.
Kwenye umafia kuna kitu kinaitwa 'tying loose ends'. Hao unaowataja taja mahakamani kuwa walikua wanakutuma kwenye uhalifu wako hawawezi kulifurahia kupakwa tope la ujambazi wako.
They will be forced to tie loose ends, which is you and your little gang of stooges. Be a pro, take a fall for the team and go quietly, your bosses might remember you after a while and rescue you.
Navojua maboss huwa wameshaku alert na kukupa signals mapema. Sijui kwa hili kama hilo lilifanyikaMimi niliyewahi kufanya kazi ya umafia ni kosa ambalo halisameheki kumtaja bosi wako. Inatakiwa upambane mwenyewe na kukiri ni wewe tu hujui zaidi, halafu mabosi zako ndo wanafanya umafia wa kukuokoa
Walimtuma akawa anaingia kichwa kichwa. Upumbavu wake alidhani Magufuli ataishi milele.Kijana Sabaya hayo unayoropoka mahakamani hayana faida kwako wala kwa hao unaowataja.
Kama bosi wako alikua anakutuma kufanya ujambazi na wewe ukadhani unayo kinga kama yeye basi huo ulikua ni upumbavu wako.
Ulipaswa kutekeleza majukumu hayo kwa akili ja weledi wa hali ya juu bila kujiweka matatizoni.
Kwenye umafia kuna kitu kinaitwa 'tying loose ends'. Hao unaowataja taja mahakamani kuwa walikua wanakutuma kwenye uhalifu wako hawawezi kulifurahia kupakwa tope la ujambazi wako.
They will be forced to tie loose ends, which is you and your little gang of stooges. Be a pro, take a fall for the team and go quietly, your bosses might remember you after a while and rescue you.
😅😅😅Sabaya wataje wote hata na walio shiriki kuongeza tozo wewe taja tu hauna namna kufa na wote.
Hivi maongezi ya simu huwa siyo traceable?watamuuliza where is the evidence ya kutumwa huko. maana mtu akikutuma kwa simu ni rahis sana ku kana maana hakuna physical evidence itakayodhibitha hivyo
Bado hajatiwa hatiani ,mahakama ndio itakayothibitisha ya kwamba Sabaya alifanya ujambazi,sio domo lako hilo kama maku ya punda ,linalotoa harufu mbaya
Tatizo siyo Sabaya, tatizo ni aliyefikiria ni busara kumfikisha Sabaya kwa Pilato! Yaani ktk ujuha na ushamba mkubwa wa serikali ya awamu ya 6, ni hiki kituko cha kufikisha kesi ya Sabaya kortini na kusikilizwa kwa dizaini hii. Kwani Sabaya angeondolewa uDC na kusahauliwa kimya kimya serikali ingepungukiwa nini?? Katika makosa ya amateurism inayoendelea, hii makitu ina chukua keki, sasa haya mengine ni matokeo! Na bado...
problem is hoa unawataja ni top officials. before voice records hazija kuwa presented watapewa taarifa kwanza.Hivi maongezi ya simu huwa siyo traceable?
Hiv dogo aliwezaje kufanya umafia mkubwa mkubwa hivo mpaka nje ya wilaya yake na mpaka nje ya mkoa wake bila approval?
he broke the law.. kuondolewa cheo haitoshi. lazima akawajibike kwa matendo yakeTatizo siyo Sabaya, tatizo ni aliyefikiria ni busara kumfikisha Sabaya kwa Pilato! Yaani ktk ujuha na ushamba mkubwa wa serikali ya awamu ya 6, ni hiki kituko cha kufikisha kesi ya Sabaya kortini na kusikilizwa kwa dizaini hii. Kwani Sabaya angeondolewa uDC na kusahauliwa kimya kimya serikali ingepungukiwa nini?? Katika makosa ya amateurism inayoendelea, hii makitu ina chukua keki, sasa haya mengine ni matokeo! Na bado...