NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
- Thread starter
-
- #41
Mkuu nina miaka nane sasa kama muajiriwa wa serikali!!watumishi tunakaa kazini muda mrefu sana vimishahara vidogo hadi tustaafu ni bora tuajiriwe kwa miaka michache tupate hela nyingi tufanye ujasiria mali mwingine kuliko kuajiriwa hadi tuchoke kabisa ndio tupewe hela!!!kwakweli. Mleta mada akipata ajira serikalini sidhani kama atabakiwa na ili wazo
Mbona povu jamaa😅 kaa kwa kutulia, watoto wa mafisadi mna maseke sana humu!Wapi nilipokutukana wewe!!! Nimekwambia acha kujifanya unanijua!!! Huo uzee ulinipa wewe? 😳
Nakubali. Hata vyeo vya kisiasa ni hivyo hivyo. Kiongozi akijua kesho kuna uchaguzi huru na wa haki, atafanya vizuri kwani anajua bila kufanya vizuri atatupwa kando. Kwa kifupi bila mashindano watu hubweteka. Ndiyo maana siku zote mimi hulaani wanasiasa na watu wanaokataa katiba mpya. Vyeo vya sasa vinatolewa kwa fadhila na rais, na haogopi chochote kwani anajua uchaguzi ukija ataiba kura.Ni kweli kabisa, kazi zingekuwa na mikataba hio hata hao viongozi wasingeshindana kufanya anasa! Wangejikita kufanya ya msingi sababu miaka michache ijayo wanatupwa mtaani na system.
Inabidi kumuondolea powers hizo raisi na mpini tuushike wananchi!Nakubali. Hata vyeo vya kisiasa ni hivyo hivyo. Kiongozi akijua kesho kuna uchaguzi huru na wa haki, atafanya vizuri kwani anajua bila kufanya vizuri atatupwa kando. Kwa kifupi bila mashindano watu hubweteka. Ndiyo maana siku zote mimi hulaani wanasiasa na watu wanaokataa katiba mpya. Vyeo vya sasa vinatolewa kwa fadhila na rais, na haogopi chochote kwani anajua uchaguzi ukija ataiba kura.
Saving Money Is not a Solution. Hii ni Njia ya Mabenki Kupata Pesa Za Kuwakopesha Watu ili Zipate Faida.Utajiongeza sasa kama unanunua bundle za bati au una save pesa ikufae baadae! Sababu hata wa mikataba ya miaka 60 inflation iko pale pale!
Ndio maana uchaguz ukikaribia wanajipendekeza kwa raia😅Nakubali. Hata vyeo vya kisiasa ni hivyo hivyo. Kiongozi akijua kesho kuna uchaguzi huru na wa haki, atafanya vizuri kwani anajua bila kufanya vizuri atatupwa kando. Kwa kifupi bila mashindano watu hubweteka. Ndiyo maana siku zote mimi hulaani wanasiasa na watu wanaokataa katiba mpya. Vyeo vya sasa vinatolewa kwa fadhila na rais, na haogopi chochote kwani anajua uchaguzi ukija ataiba kura.
Sasa usiposave ukimaliza mkataba unaenda kula kwa babaako ama?Saving Money Is not a Solution. Hii ni Njia ya Mabenki Kupata Pesa Za Kuwakopesha Watu ili Zipate Faida.
Why unasave Money while BOT wanaprint Pesa zaidi? Ushawahi jiuliza Kwanini Umesave Pesa Ila BOT wanaprint Pesa
Ni Wazo Lake Mkuu ingawa Linakuwa Gumu sana Kutekelezwa. Ametoa Hili kutokana Na Kwamba Hali ya Mtaani Ni Mbaya Sana kwa Vijana WahitimuHuu ni UPUUZI MTUPU!!! Unawaajiri watu ná kuwapa training yenye gharama kubwa katika utendaji wa kazi zao za kila siku. Baada ya miaka mitatu wakati tayari wana experience ya kutosha katika utendaji wa kazi zao unawaondoa na kuwaleta wapya ambao hawajui chochote na zoezi la kutoa training upya linaanza tena!!! UPUUZI MWANZO MWISHO. Kuna wizi, ufisadi na ubadhirifu mkubwa sana Serikalini kama mianya hii ikiondolewa basi Serikali inaweza ikatoa ajira nyingine kati ya laki 5 mpaka milioni bila matatizo yoyote yale.
Kuna graduate mwaka wa 10 huu tupo mtaani[emoji23]Usitukane basi mzee, usiite upuuzi sababu una ahueni ya maisha kuna graduates wamemaliza chuo mda mrefu mwangaza hawauoni, mitaji hakuna!
Top Management waende Ulaya wakafanye kazi huko! Bongo mfumo ubadilike ili kuondoa vilaza kwenye system tuna top management mbovu kuwahi kutokea ambayo inazurura tu kwenye midege!EXPERTS NA TOP MANAGEMENT WATAPATIKANA VIPI
MAISHA YA TRIAL AND ERROR
Ni kweli mkuu kazi nyingi zina value experience ya mtu,kwa kampuni the cost ya kusubiri new graduates wapate uzoefu wa kazi sio sawa na ku retain employees ambao wana uzoefu.Haiko realistic..
Waajiri wakuu nchini ni Sekta Binafsi..Na huko unalipwa kadri ya unavyozalisha..sasa ..
Hata ikiapply serikalini tu,kamwe tatizo la ajira halitakwisha naana hawawezi kuajiri watu wengi kama sekta Binafsi..
Walau hoja ya pili . (Vikomo vya madaraka ya kisiasa) inamake sense
Ni kweli chief, toka 2010 kitaa sio jambo la masihara😅 halafu madogo wanakula mashavu kwa ukulungwa tu! Tugawane rizikiKuna graduate mwaka wa 10 huu tupo mtaani[emoji23]
Ni vema tule kwa kupokezana.
Ni Wazo Lake Mkuu ingawa Linakuwa Gumu sana Kutekelezwa. Ametoa Hili kutokana Na Kwamba Hali ya Mtaani Ni Mbaya Sana kwa Vijana Wahitimu
Kunakuwa na program ya transition mbona ni easy tu!Ni kweli mkuu kazi nyingi zina value experience ya mtu,kwa kampuni the cost ya kusubiri new graduates wapate uzoefu wa kazi sio sawa na ku retain employees ambao wana uzoefu.
Plus hii HAITAPUNGUZA TATIZO LA AJIRA since kila mwaka kuna wahitimu wengi wanashushwa mtaani, jibu ni kutafuta njia za kuongeza ajira na sio njia za kutafuta kugawana hicho kidogo kilichopo
Mkuu ujue baada ya 5 yrs haupo kazini unafikiri mshahara wako utaupeleka kidimbwi?Huwezi ukafanya hii kitu ni hasara kubwa sana Kwa Serikali na pia uchumi wa nchi utaanguka sana. Mfanyakazi anayejua baada ya miaka mitatu hana ajira unadhani atakuwa na long term plan ya kufanya mambo yake ya kimaendeleo?
Transition is costlyKunakuwa na program ya transition mbona ni easy tu!
Think outside the Box. Nimekuuliza tu Unaposave pesa Hasa Hiyo Mil 1 utaikuta na Thamani yake Hiyo Hiyo Mil 1?Sasa usiposave ukimaliza mkataba unaenda kula kwa babaako ama?
Mkuu ujue baada ya 5 yrs haupo kazini unafikiri mshahara wako utaupeleka kidimbwi?