Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
I miss the old you and I told you about that several times. 😜😜😜
The old me was kubwatukaring too much lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I miss the old you and I told you about that several times. 😜😜😜
The old me was kubwatukaring too much lol
anyway ni mawazo yenu ila kwenye utekelezaji ngumu sana job circle lazima iwepo popote hata kwenye familiaTop Management waende Ulaya wakafanye kazi huko! Bongo mfumo ubadilike ili kuondoa vilaza kwenye system tuna top management mbovu kuwahi kutokea ambayo inazurura tu kwenye midege!
Sasa mantiki mbona ni ile ile! Weka pesa ifikie kiwango cha mtaji uwekeze na kusimamia biashara yako!Think outside the Box. Nimekuuliza tu Unaposave pesa Hasa Hiyo Mil 1 utaikuta na Thamani yake Hiyo Hiyo Mil 1?
Unasave Pesa Ili uje Ule? Watu wanasave Pesa Ili zije zitoe Pesa Zaidi. Unaweka Pesa Ili Uje uzitumie baadae Utajikuta Unapata Bankrupt Unachanganyikiwa maana Unapokosa Kipato cha Kila Mwezi ulichokuwa unakitegemea Akili Hatowaza Maendeleo tena.
Mshahara mtamu mkuu, mtu huyo huyo akiambiwa aitafute hio laki 5 akiwa hana hata thumni huku mtaani anaweza kuishia kufa na stress ama depression!ah hii habari usiwaambie watu walio na ajira selikalini lazima wakuone mmbaya anauhakika na maisha bila ukomo
misharaha mitamu pale mzigo unaposoma umewekwa
unataka akajiajir kweli kuna jamaa moja ukimkuta anasema vijana wajiajiri ana business plan nyingi kichwani akikuchambulia chakufanya miaka mitatu unakua bilioner najiuliza kwanini yy hafanyi amengangania kweny kazi na take home ya laki 5 miaka yote toka 2014
Ushaambiwa kwenye hio mshahara ukitoa mahitaji muhimu, you are left with nothing or little to save, hio mil 60 utaitolea wapi? Halafu sio kila mtu ni mfanyabiashara, halafu watu wata misuse ajira/position zao wakiona wanatolewa soon,lastly job security is important, it goes everywhere even home baba akiwa stressed or depressed athari zinaenda hadi kwa familia, wote tutafakari njia ambazo ziko more practical, we understand how hard it is but sio kuja na solutions zitakazo athiri wengineSasa mantiki mbona ni ile ile! Weka pesa ifikie kiwango cha mtaji uwekeze na kusimamia biashara yako!
Inategemea na risk appetite ya mtu. Mwengine atawekeza hio hio million 1 wengine watawekeza 10M so kulingana na utakavyo kama uta manage kusimamia hela yako na kazini unaweza kuanza kuwekeza toka mshahara wa kwanza😅
Kukwambia ku save ifike 60M sio kana kwamba aanze kuila hio pesa bali afanye utekelezaji wa mpango wa muda mrefu!
kweli kabisa mkuu ndio maana watu hadi wanlogana kazini kupata vyeo na kubaki kazini alafu leo uwambie arudi mtaaniMshahara mtamu mkuu, mtu huyo huyo akiambiwa aitafute hio laki 5 akiwa hana hata thumni huku mtaani anaweza kuishia kufa na stress ama depression!
Hizo ajira wanaozing’ang’ania wala siwashangai mtaa huku ni mziki mnene!
Yani ulipwe 5M per month ushindwe ku save 1M my friend? Kumbuka sizungumzii mishahara mbuzi ya 300K to 1M ile.., unless uwe unaishi maisha ya kifahari sana!Ushaambiwa kwenye hio mshahara ukitoa mahitaji muhimu, you are left with nothing or little to save, hio mil 60 utaitolea wapi? Halafu sio kila mtu ni mfanyabiashara, halafu watu wata misuse ajira/position zao wakiona wanatolewa soon,lastly job security is important, it goes everywhere even home baba akiwa stressed or depressed athari zinaenda hadi kwa familia, wote tutafakari njia ambazo ziko more practical, we understand how hard it is but sio kuja na solutions zitakazo athiri wengine
Bila shakaKila mwaka wanavyuo wengi wana graduate na kurundikana mtaani bila ajira huku wakihangaika kutafuta ajira bila mafanikio. Serikali kama mdau wa ajira nchini inapaswa kuja na wazo la ajira za mkataba kama ifuatavyo;-
1.Kwenye utumishi wa umma:
Mfumo wa ajira za maisha uondolewe yaani nesi, daktari, mwalimu n.k badala ya ajira zao kuwa za maisha ziwe za mkataba wa miaka mitano hadi kumi tena wakilipwa mishahara minono ili mkataba unapoisha mtumishi akajiajiri ili kuendeleza maisha yake! Hii itasaidia serikali kuajiri watumishi wapya wanaotafuta ajira kila siku na kupunguza uhaba wa ajira nchini!
2.Kwenye siasa:
Serikali itunge sheria itakayosimamia vyama vya siasa kutorudia kuteua majina yale yale kwenye uchaguzi mkuu wa wabunge na madiwani kila baada ya miaka mitano. Kuwe na ukomo wa utumishi wa kisiasa kwa miaka mitano mitano ili kuwapa nafasi wengine wenye sifa na vigezo vya kielimu vikichukuliwa kama sifa kuu mojawapo ya uteuzi. Angalau Shahada ya kwanza kwa ubunge na Astashahada kwa udiwani. Hii itatoa fursa kwa wengi kupitishwa na vyama vya siasa kwenye uchaguzi na kusaidia kupunguza tatizo la ajira nchini.
Nawakaribisha kwa mjadala huru na mwenye mawazo mbadala aongezee.
Kwa mfano Prof kama aliyefariki wiki hii (Prof. Luhanga) unaweza ukamtengeneza ndani ya miaka mitano ?Kunakuwa na program ya transition mbona ni easy tu!
Hahaaaaa mkuu siku Tanzania itakapoanza kulipa watu million 5 kwa mwezi ujue ni muujiza, kama wakiweza kulipa hela yote hio kwa mtu mmoja kwa nini wasi igawanye badala yake wakatoa kidogo lakini kwa kila mtu na kwa muda mrefu?????Yani ulipwe 5M per month ushindwe ku save 1M my friend? Kumbuka sizungumzii mishahara mbuzi ya 300K to 1M ile..,
Uko sahihi... Inahitaji muda na vipaji vingine ni exceptional! Itafutwe namna nyingine ya kuongeza fursa za ajira.Kwa mfano Prof kama aliyefariki wiki hii (Prof. Luhanga) unaweza ukamtengeneza ndani ya miaka mitano ?
Daktari bingwa anayefanya surgery za kufa mtu halafu unamtoa chap chap ...sio ndio tunatengeneza bomu lingine ?
Hela inayopotea kwa wizi na ufisadi ni nyingi kuliko ambayo ingetosha kulipa watu 5M kwa mwezi! Kwa sasa tuna tozo pia mbona linawezekana!Hahaaaaa mkuu siku Tanzania itakapoanza kulipa watu million 5 kwa mwezi ujue ni muujiza, kama wakiweza kulipa hela yote hio kwa mtu mmoja kwa nini wasi igawanye badala yake wakatoa kidogo lakini kwa kila mtu na kwa muda mrefu?????
wataajiriwa wale wanaojitolea au wapiga tempo kwenye taasisi ili tayari wawe na uzoefu wa kazi!!PLAN INA WEZEKANA KABISA KAMA WADAU WAKIKAA NA KUTUNGA KANUNI NA SHERIA ZA KAZI NA AJIRA NCHINI!!!Ni kweli mkuu kazi nyingi zina value experience ya mtu,kwa kampuni the cost ya kusubiri new graduates wapate uzoefu wa kazi sio sawa na ku retain employees ambao wana uzoefu.
Plus hii HAITAPUNGUZA TATIZO LA AJIRA since kila mwaka kuna wahitimu wengi wanashushwa mtaani, jibu ni kutafuta njia za kuongeza ajira na sio njia za kutafuta kugawana hicho kidogo kilichopo
Kwa hao wa afya huko wana exception mkuu! Hao wasiguswe nazungumzia huku kwa Cadre nyingine mkuu.Kwa mfano Prof kama aliyefariki wiki hii (Prof. Luhanga) unaweza ukamtengeneza ndani ya miaka mitano ?
Daktari bingwa anayefanya surgery za kufa mtu halafu unamtoa chap chap ...sio ndio tunatengeneza bomu lingine ?
Mkuu ndio maana nikasema tuwe practical, I understand the situation, ila siku ambayo Tanzania inaweza kumpa kila graduate mshahara wa million tano haipo!be realistic, na siku hio ikifika ujue matatizo mengi Tanzania yatakua yameshaisha ikiwepo Ajira, again tubuni njia nyingine, mimi kusema ukweli sio nakupinga tu bali ni ukweli hili jambo haliwezekaniSasa kumbuka hapa tunazungumzia mpango maalumu ili kunusuru janga la ajira kwa graduates!
Ila jamaa wawili kuiba billion 50 serikalini inawezekana😅?Mkuu ndio maana nikasema tuwe practical, I understand the situation, ila siku ambayo Tanzania inaweza kumpa kila graduate mshahara wa million tano haipo!be realistic, na siku hio ikifika ujue matatizo mengi Tanzania yatakua yameshaisha ikiwepo Ajira, again tubuni njia nyingine, mimi kusema ukweli sio nakupinga tu bali ni ukweli hili jambo haliwezekani
Hata Flyover tuliambiwa haiwezekani na SGR haziwezekani kwa bongo ila zitawezekana tu!Mkuu ndio maana nikasema tuwe practical, I understand the situation, ila siku ambayo Tanzania inaweza kumpa kila graduate mshahara wa million tano haipo!be realistic, na siku hio ikifika ujue matatizo mengi Tanzania yatakua yameshaisha ikiwepo Ajira, again tubuni njia nyingine, mimi kusema ukweli sio nakupinga tu bali ni ukweli hili jambo haliwezekani