kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
Kweli kabisa ukimwambia mtu akutajie mashamba 3 tuu ambayo mfanyakazi wake kawaida naweza kulipwa hata 500K kwa mwezi akapewa na nyumba tuu mtihani. Lakini ulaya yapo.na ni kwa sababu wameboresha mfumo wao wa kilimo.Lazima tubuni njia zaidi za kusaidia watu waajiriwa wengi na sio kugawa kidogo tunachopata,sio sahihi kumpa huyu na kumpora mwingine
Unakuta mfanyabiashara ananunua mahindi TANI hata 800 kwa wakulima hapo songea na sumbawanga anapeleka Kenya ana kiwanda na ajira za watu 300 .
Can you imagine?