Ushauri kwa Serikali: Ajira za mkataba ndiyo suluhisho pekee la uhaba wa ajira nchini

Lazima tubuni njia zaidi za kusaidia watu waajiriwa wengi na sio kugawa kidogo tunachopata,sio sahihi kumpa huyu na kumpora mwingine
Kweli kabisa ukimwambia mtu akutajie mashamba 3 tuu ambayo mfanyakazi wake kawaida naweza kulipwa hata 500K kwa mwezi akapewa na nyumba tuu mtihani. Lakini ulaya yapo.na ni kwa sababu wameboresha mfumo wao wa kilimo.

Unakuta mfanyabiashara ananunua mahindi TANI hata 800 kwa wakulima hapo songea na sumbawanga anapeleka Kenya ana kiwanda na ajira za watu 300 .

Can you imagine?
 
Point
 
Reactions: BAK
kibongo mmkuna wazee nawafahaku walisha staff lakin wameajiriwa tena kwa mkataba kisa wanauzoefu.sasa iyo abae hafai atolewe atalogwa mtu. iwekwe limit tu ya muda miaka 45 serikalin unaachia vijana ww tunaasume unapesa za kutosha za kujiendelezaa acha aingie kijana fresh kutoka chuo aroung 25 years afanye kazi miaka 20 nae astafuu aachie mwingine hii itaokoa jahazi kwa asilimia nzur tu.
 
Lazima tubuni njia zaidi za kusaidia watu waajiriwa wengi na sio kugawa kidogo tunachopata,sio sahihi kumpa huyu na kumpora mwingine
Wakati tunaendelea kutafuta njia nyingine zaidi za kusaidia watu kuajiriwa lazima tuhakikishe hiki kidogo kilichopo kinaliwa na watu wengi zaidi wasio nacho kabisa.
Hakuna mtu anayeporwa chochote, mishahara ya watumishi nchi hii inalipwa kwa kodi na rasilimali ambazo ni za wananchi wote.

Kuna tatizo gani wakati tunasubiri keki kuwa kubwa zaidi ili kuwatosha wote hii keki ndogo iliyopo kwa sasa kuhakikisha inaliwa na wengi zaidi ambao nao wanachangia pakubwa keki hii ndogo kuwa mezani?!
 

Acha ubinafsi ndege John
 
MNHHHHH ugumu wa kijana aliyemaliza chuo kufanya biashara ni upi? Na urahisi wa mtu aliyekua ofisini kufanya biashara ikasimama ni upi?? Toa evidence tukuelewe maanake ni kama unasema watanzania wote tuingie kwenye ujasiriamali jambo ambalo ni ngumu haliko practical,,,,
 
kufanya allocation ya resources huwez kuescape bias lakin huwa serikali zinajaribu kupunguza tu. mfano ni pesa za mikopo kwa vijana zinazo kuja wilayani ni kwa vijana lakin sio kila kijana lengu kuu za fedha izo ni kwa jili ya wanafunzi au watu wenye creteria fulan sema inafichwa ndo maana vijana wengine hulalamika wanazungushwa sanaa
 
Ivi mnajua gharama za kurecruit after every 5years?
Ni mziki balaa nipo kazin kuna watu wana miaka 15 kazin wengine 7 mimi nina 5 lakini naona utofauti mkubwa sana. Wenye experince kubwa wana vingi sana wanajua sio wote ila kwa kiasi kikubwa wanaijua vjzuri organization.
Wengine sio kwa utendaji ila kwenye ushauri na maamuzi wako bright sana na kweli wafanyakazi wengine wanakubali hilo
 
Mnhhhhh yaani uwe na waajiriwa uwaongeze mshahara kisha uwaachishe kazi ndio mmeona solution la ukosefu wa ajira??? Huo ujasiria Mali mnaotaka wengine wafanye kwa nini msiufanye nyie fresh graduates kwa kutumia hela hio hio mliyotaka kuongeza mishahara?
 
Sio lazima Watanzania wote waingie kwenye kilimo, mkataba wako serikalini ukiisha kama huwezi kufanya biashara, kuvua, kulima, kufuga,kujenga nyumba ya kupangisha n.k nenda katafute kazi kama muajiriwa tena sekta binafsi, ila pisha wengine baada ya miaka yako 10.
 
Fedha za mikopo wilayani ni siasa tu za chama tawala.
 
kwani hivyo vitu ulivyovitaja graduates hawawezi kufanya????..
 
Kama wangekuwa wanaweza kungekuwa na tatizo kubwa la ajira kama lilipo sasa??
Kwa hio unaona hawawezi?! Khaaaaa halafu ndio hao hao unawatagemea wawe margically transformed baada ya miaka mitano ofisini waweze biashara,, yeah right!
 
Sio kweli Serikali ina wafanyakazi laki tatu.
Sio kweli watu milioni 60 waliobakia wote wanastahili kuwa wafanyakazi.
 
Wafanyakazi wengine sekta binafsi wanafanya kazi za mikataba, hata serikalini inawezekana kwa mikataba na kuweka ukomo. Hakuna haja ya kutokwa na povu watu wengi zaidi kutaka kushiriki kasungura kadogo walichowinda wakati wanasubiri nyati afike mezani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…