Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Tusiwe serious na namba zinazotajwa. Tuchukue tahdhari,
- Mvua zitasomba watu , kuanzia Kinyerezi, Tabata, Kigogo, Jangwani.
- Mvua zitaangusha kuta dhaifu na kuua watu.
- Radi zitapiga majengo marefu yasiyo na mfumo wa kuzuia radi, zitapiga magari yasiyo na kuzuizi na kulipuka.
- Ligi kuu itabidi kusimama kupisha mvua.
- Mvua itakata barabara na madaraja, watoto wanaolazimishwa kwenda tuition kuzama etc.
- Mashamba ya mpunga na miwa kujaa ,aji, means upungufu wa sukari na mchele.mahindi na mazao mengine.