Ushauri kwa Serikali kuhusu El -Nino na kupunguza vifo!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,434
Reaction score
27,177
Tusiwe serious na namba zinazotajwa. Tuchukue tahdhari,

  1. Mvua zitasomba watu , kuanzia Kinyerezi, Tabata, Kigogo, Jangwani.
  2. Mvua zitaangusha kuta dhaifu na kuua watu.
  3. Radi zitapiga majengo marefu yasiyo na mfumo wa kuzuia radi, zitapiga magari yasiyo na kuzuizi na kulipuka.
  4. Ligi kuu itabidi kusimama kupisha mvua.
  5. Mvua itakata barabara na madaraja, watoto wanaolazimishwa kwenda tuition kuzama etc.
  6. Mashamba ya mpunga na miwa kujaa ,aji, means upungufu wa sukari na mchele.mahindi na mazao mengine.
Seriklali itumie makampuni ya beti , siasa na mtaani kuwapa raia elimu ya mvua, kutotumia , kupanga baadhi ya ofisi zisizo na umuhimu wafanyie kazi nyumbani na shule zipewe likizo.


Your browser is not able to display this video.

​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…