Sasa hapo unakuwa umefikiria kwa kutumia kichwa tupu.Ushauri kwa serikali kuhusu mfumo wa biashara hii ya mabus uwepo ushindani na mabasi ya daladala yawepo alafu mwananchi ataamua mwenyewe apande lipi tofauti na sasa
Yaani daladala zipite kwenye Mwendokasi? Hiyo itakuwa mwendokasi tena? Huna akili kiongozi.Ushauri kwa serikali kuhusu mfumo wa biashara hii ya mabus uwepo ushindani na mabasi ya daladala yawepo alafu mwananchi ataamua mwenyewe apande lipi tofauti na sasa
Jamaa wana enjoy kuona watu wanavyoteseka,kugombania magari kama mangombeMiradi ya watu hiyo
Wamwage magari mengi abiria waweze kupanda kiurahisiUshauri kwa serikali kuhusu mfumo wa biashara hii ya mabus uwepo ushindani na mabasi ya daladala yawepo alafu mwananchi ataamua mwenyewe apande lipi tofauti na sasa
Mbona zipo mkuu! Kwa mfano Mbezi hadi studio, Mbezi, Manzese, fire hadi Mnazi mmoja! Hizi zimeanza tangu mwaka jana.Soma vizuri sijasema zipite kwenye hiyo barabara mimi namaana ziendelee katika barabara zake tu mtu unaamua upande kasi au daladala
MAwazo yake hamkuyaelewA yeye kasema daladala ziwepo kama awali ilivyokuwa sio kwamba zitapita kwenye njia ya mwendo kasi hapanaMtoa mada unazijua akili za daladala? Au umeanzisha uzi ili kujizolea like
Kwan daladala hazipo?Maw
MAwazo yake hamkuyaelewA yeye kasema daladala ziwepo kama awali ilivyokuwa sio kwamba zitapita kwenye njia ya mwendo kasi hapana
Dk5 sio 30Amna ushauri umo ni upuuzi badala uwashauri waongeze bus imara na utaratibu mzuri wa safari angalau kila baada ya dk 30 gari itoke kituoni
Yanayoendelea UDART ni ya kusudi ili waheshimiwa wauchukue huo mradi kwa ajili ya kujineemesha.Ushauri kwa serikali kuhusu mfumo wa biashara hii ya mabus uwepo ushindani na mabasi ya daladala yawepo alafu mwananchi ataamua mwenyewe apande lipi tofauti na sasa