Ushauri kwa Serikali: Nashauri Serikali iwanyang'anye passport za kusafiria wale wote waliotukana, kudhihaki na kumsema vibaya Rais wetu

Utashangaa yakikurudia wewe. Wanaopinga serikali iliyoko madarakani je hawalipi kodi? Wanakosaje haki zao za kiraia kwa sababu tu kwa maoni yako wameikosia serikali kwa kashifa?
 
Njaa mbaya sana
 
Hizi ndizo akili za watia nia wengi wa CCM,sishangai mawazo kama Yale yakuwekea mlima Kilimanjaro Pazia.
 
Utashangaa yakikurudia wewe. Wanaopinga serikali iliyoko madarakani je hawalipi kodi? Wanakosaje haki zao za kiraia kwa sababu tu kwa maoni yako wameikosia serikali kwa kashifa?
Tulia chanjo ikuingie vizuri
 
Huna uwezo wa kushindana na mimi kilaza kama wewe mkuu.
 
Povu linatutoka sababu ya kiasi kikubwa cha ujinga unachoonyesha hapa...

Japo ni haki mtu kua mjinga na mpumbavu,wewe umetumia haki hiyo to the maximum,mpaka inaudhi!
Kuna chanjo yenu nyingine nipo naiandaa yenye jina la COVID 2020 pro+ vaccine. Hii nai release baadaye.
 
Kuna sehemu umeandika ulishangaa kumuona mtu yuleyule anafanya kazi masaa 24. Hii ni chai kabisa mkuu.
 
You must be nuts! Unajua maana ya national interest or national security in the eyes of the law? Au unadhani ni kujikomba na kujipendekeza n
 
Sijawai jipendekeza katika maisha yangu,
basi itakuwa hujui maana ya neno kujipendekeza, yaani kujipendekeza maana yake ni kwamba kama ungekuwa unafanya hivyo kwangu (kujipendekeza) badala ya kwa mh. basi mie ningekupa zawadi ya kukupa m.mba - ingependeza sana!!!.
 
Sasa ni wazo chanjo imeanza kukuingia
 
Ngoja lifanyiwe kazi. Nadhani tutaelewana tu. Ni kifungu kipi cha sheria kinakuruhusu wewe kumdhihaki Rais wetu, ni kifungu kipi kinakuruhusu wewe kuisema vibaya nchi yetu huko ughaibuni uliko
Wewe Meneja was Makampuni ukiweka post kama hizi hapa ukumbini weka na nr yako ya simu ili iwe rahisi kwa wanaoshughulika na uteuzi kukufikia!
 
You must be nuts! Unajua maana ya national interest or national security in the eyes of the law? Au unadhani ni kujikomba na kujipendekeza n
Ulisha anza kutoa povu sasa, ule ujembe uko wazi kabisa, unafeli wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…