Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
- #161
Just wait we're still finding your vaccineMbwa ww..... Unaleta ushauri wa kimalaya Malaya...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Just wait we're still finding your vaccineMbwa ww..... Unaleta ushauri wa kimalaya Malaya...
Wewe ni kifaa tu kinachotumiwa, tena kifaa kibovu kabisa hata kazi kinachotakiwa kufanya hakina uwezo nayo.Tulia chanjo ikuingie vizuri mkuu, mbona unatoa povu
Chanjo gani mzee mama wewe?Tulia chanjo ukiingie viruzi
Coward idiots like you ain't got sh*t on meJust wait we're still finding your vaccine
Magufuli ametamka jana kwamba muache kujipendekeza.Kwako serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.
Mimi ni kijana mzalendo, niliyepata mafunzo ya kijeshi nikafundishwa kupenda taifa letu, nikafundishwa kulinda upendo na amani ya nchi yetu.
Ninao uchungu mkubwa juu taifa langu. Nimekuwa nikikerwa sana juu ya ndugu zetu wengine ni viongozi wale wanaoishi ughaibuni.
Hawa mabwana wamekuwa wakitukana, kudhihaki na kumdharau sana Rais wa nchi yetu na wamekuwa wakifanya hivyo kupitia mitandao ya kijamii.
Binafsi nimekuwa nikikerwa sana na hawa watu waliokosa hekima na hata chembe ya heshima na adabu ndani ya mioyo yao.
Pengine ni mihemuko ya kiasiasa walio nayo kutokana kujenga mifumo ya siasa za kishabiki ndani yao.
Mimi kama raia mwema na mzalendo wa kweli, nimekuwa nikiwaza kitu kwamba mbali na adhabu za kuwapeleka mahakamani naishauri serikali yangu iwaongezee na adhabu nyingine ya kuwanyang'nya passport zao za kusafiria kwasababu passport ni mali ya serikali kupitia taasisi yetu ya uhamiaji.
Hivyo nawaomba uhamiaji wawanyang'anye passport hizo kwasababu wemeshindwa kuzitumia kwa heshima na adabu.
Lakini pia nawashauri TCRA watafute vijana wabobezi kwenye fani ya mitandao ili wawafuatilie watu kama hawa popote walipo. Kwasababu haya mambo yanawezekana.
Mbali na kufuatilia wezi wanao tutapeli fedha kwenye mitandao, tafadhali TCRA isaidieni serikali kufuatilia taarifa za watu wanamna kama hiyo. Kama mmekosa vijana hao mnaweza kuomba ushauri kwenye kitengo cha mawasiliano nchini China wao wanafanyaje.
Ningependa swala la kunyang'nya passport lihusiane na watuhumiwa ambao wanaitukana Serikali wakiwa nje ya Tanzania. Pamoja na watuhumiwa ambao wanamtukana Rais wakiwa nje ya mipaka ya Tanzania.
Mfano mtuhumiwa anayewaita waandishi wa habari na kumtukana Rais pamoja na serikali ya Tanzania mbele ya waandishi wa habari hao nje ya mipaka ya Tanzania. Sasa kwa vile passport ambayo ni mali ya serikali ndio imempeleka huko na hiyo passport ni mali ya serikali, sio vibaya mtuhumiwa huyo akanyang'anywa hiyo passport.
Pili mtuhumiwa anaye kwenda kwenye kituo cha kurusha matangazo ya habari nje ya mipaka ya Tanzania na kuanza kulisimanga vibaya taifa letu pamoja na kumsimanga vibaya Rais wetu.
Sasa kwa vile passport ambayo ni mali ya serikali ndio imempeleka huko na hiyo passport ni mali ya serikali, sio vibaya mtuhumiwa huyo akanyang'anywa hiyo passport.
Kwa hivyo ili kumfunza adabu mtuhumiwa huyo inatakiwa anyang'anywe passport ili abaki ndani ya mipaka yetu ajifunze jinsi kuheshimu taifa lako akiwa nje ya mipaka ya taifa letu.
Mtuhumiwa mwengine ni yule ambaye anatukana viongozi kwa njia ya mtandao ila akiwa nje ya mipaka ya Tanzania. Anapata uhuru wa kufanya hivyo eti kwa vile yuko nje ya Tanzania.
Sasa huyu naye inatakiwa anyang'anywe passport ya serikali ili atulie ndani ya mipaka yetu ajifunze jinsi ya kuheshimu taifa letu.
Kama hujanielewa naomba urejee hii attachment.
View attachment 1514597
Wenu katika ujenzi wa taifa,
Meneja wa Makampuni.
Pesa nayoingiza kwa siku inaweza kulisha ukoo wenu wote kwa miaka miwili.Chanjo gani mzee mama wewe?
"ukiingie" ndio Kiswahili cha wapi?
"viruzi" ndio Kiswahili cha wapi?
Majitu yanayo mshabikia mawe ni majitu yaliyofeli maisha totally wala sio elimu pekee yake!
Total disgrace!
Mkuu kabla watu hamjaomba nafasi yoyote katika jamii muwe mnajipima na kujitafajari Kwanza Kama kweli mnauwezo wa kushika nafasi hizo.Maana Kama unapewa nafasi ambayo maamuzi yako yanamfurahisha huyu na kumuumiza yule,Kama huna akili za maiti huwezi kutegemea kutotukanwa. Any way sorry sijasoma bandiko lako kwa kuwa heading tu imeniboaKwako serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.
Mimi ni kijana mzalendo, niliyepata mafunzo ya kijeshi nikafundishwa kupenda taifa letu, nikafundishwa kulinda upendo na amani ya nchi yetu.
Ninao uchungu mkubwa juu taifa langu. Nimekuwa nikikerwa sana juu ya ndugu zetu wengine ni viongozi wale wanaoishi ughaibuni.
Hawa mabwana wamekuwa wakitukana, kudhihaki na kumdharau sana Rais wa nchi yetu na wamekuwa wakifanya hivyo kupitia mitandao ya kijamii.
Binafsi nimekuwa nikikerwa sana na hawa watu waliokosa hekima na hata chembe ya heshima na adabu ndani ya mioyo yao.
Pengine ni mihemuko ya kiasiasa walio nayo kutokana kujenga mifumo ya siasa za kishabiki ndani yao.
Mimi kama raia mwema na mzalendo wa kweli, nimekuwa nikiwaza kitu kwamba mbali na adhabu za kuwapeleka mahakamani naishauri serikali yangu iwaongezee na adhabu nyingine ya kuwanyang'nya passport zao za kusafiria kwasababu passport ni mali ya serikali kupitia taasisi yetu ya uhamiaji.
Hivyo nawaomba uhamiaji wawanyang'anye passport hizo kwasababu wemeshindwa kuzitumia kwa heshima na adabu.
Lakini pia nawashauri TCRA watafute vijana wabobezi kwenye fani ya mitandao ili wawafuatilie watu kama hawa popote walipo. Kwasababu haya mambo yanawezekana.
Mbali na kufuatilia wezi wanao tutapeli fedha kwenye mitandao, tafadhali TCRA isaidieni serikali kufuatilia taarifa za watu wanamna kama hiyo. Kama mmekosa vijana hao mnaweza kuomba ushauri kwenye kitengo cha mawasiliano nchini China wao wanafanyaje.
Ningependa swala la kunyang'nya passport lihusiane na watuhumiwa ambao wanaitukana Serikali wakiwa nje ya Tanzania. Pamoja na watuhumiwa ambao wanamtukana Rais wakiwa nje ya mipaka ya Tanzania.
Mfano mtuhumiwa anayewaita waandishi wa habari na kumtukana Rais pamoja na serikali ya Tanzania mbele ya waandishi wa habari hao nje ya mipaka ya Tanzania. Sasa kwa vile passport ambayo ni mali ya serikali ndio imempeleka huko na hiyo passport ni mali ya serikali, sio vibaya mtuhumiwa huyo akanyang'anywa hiyo passport.
Pili mtuhumiwa anaye kwenda kwenye kituo cha kurusha matangazo ya habari nje ya mipaka ya Tanzania na kuanza kulisimanga vibaya taifa letu pamoja na kumsimanga vibaya Rais wetu.
Sasa kwa vile passport ambayo ni mali ya serikali ndio imempeleka huko na hiyo passport ni mali ya serikali, sio vibaya mtuhumiwa huyo akanyang'anywa hiyo passport.
Kwa hivyo ili kumfunza adabu mtuhumiwa huyo inatakiwa anyang'anywe passport ili abaki ndani ya mipaka yetu ajifunze jinsi kuheshimu taifa lako akiwa nje ya mipaka ya taifa letu.
Mtuhumiwa mwengine ni yule ambaye anatukana viongozi kwa njia ya mtandao ila akiwa nje ya mipaka ya Tanzania. Anapata uhuru wa kufanya hivyo eti kwa vile yuko nje ya Tanzania.
Sasa huyu naye inatakiwa anyang'anywe passport ya serikali ili atulie ndani ya mipaka yetu ajifunze jinsi ya kuheshimu taifa letu.
Kama hujanielewa naomba urejee hii attachment.
View attachment 1514597
Wenu katika ujenzi wa taifa,
Meneja wa Makampuni.
Soma hilo bandiko upate kuelewa na chanjo ikuingieMkuu kabla watu hamjaomba nafasi yoyote katika jamii muwe mnajipima na kujitafajari Kwanza Kama kweli mnauwezo wa kushika nafasi hizo.Maana Kama unapewa nafasi ambayo maamuzi yako yanamfurahisha huyu na kumuumiza yule,Kama huna akili za maiti huwezi kutegemea kutotukanwa. Any way sorry sijasoma bandiko lako kwa kuwa heading tu imeniboa
Wewe ni "meneja" wa makampuni mimi ni "owner" wa makampuni..Pesa nayoingiza kwa siku inaweza kulisha ukoo wenu wote kwa miaka miwili.
Unaambiwa hilo jamaa ni jinga kweli kweli halafu halifahamu kwamba ni jinga!! Kwa kawaida threads zake huwa anamalizia kutaja degree aliyosomea na wapi alisoma! Hapa nadhani limesahau kutaja kwamba ana degree ya Australia halafu likiambiwa linajipendekeza, linajifanya kukana... very stupid!!!Chanjo gani mzee mama wewe?
"ukiingie" ndio Kiswahili cha wapi?
"viruzi" ndio Kiswahili cha wapi?
Majitu yanayo mshabikia mawe ni majitu yaliyofeli maisha totally wala sio elimu pekee yake!
Total disgrace!
Hakuna cha kuelewa hapo, jinga Msukule wa Lumumba wewe!!Soma hilo bandiko upate kuelewa na chanjo ikuingie
Angalia ulivyo zuzu... kuna aliyekuuliza unaingiza shilingi ngapi hapa?! Watu wanajadili hoja yako ya kijuha ambayo inaonesha wazi kichwani mwako ni zero!!!Pesa nayoingiza kwa siku inaweza kulisha ukoo wenu wote kwa miaka miwili.
Still a vaccine is working right.Hakuna cha kuelewa hapo, jinga Msukule wa Lumumba wewe!!
Still a vaccine is working right.Angalia ulivyo zuzu... kuna aliyekuuliza unaingiza shilingi ngapi hapa?! Watu wanajadili hoja yako ya kijuha ambayo inaonesha wazi kichwani mwako ni zero!!!
Sasa chanjo imekuingia kisawasawa mpaka unatoa povu. Inabidi nipunguze dozi.Unaambiwa hilo jamaa ni jinga kweli kweli halafu halifahamu kwamba ni jinga!! Kwa kawaida threads zake huwa anamalizia kutaja degree aliyosomea na wapi alisoma! Hapa nadhani limesahau kutaja kwamba ana degree ya Australia halafu likiambiwa linajipendekeza, linajifanya kukana... very stupid!!!
Yaani kujua kwingi wakati kichwani ni ZERO!!!
Sasa ni wazi kwamba hii chanjo ya majaribio inafanya kazi vizuri. Povu linawatokaWewe ni "meneja" wa makampuni mimi ni "owner" wa makampuni..
Meneja ni mwajiriwa...shut up your butt!
Wenye hela wamo JF wanaomba wakosoaji wa Magufuli eti wafungwe na wanyang'anywe uraia?
Kuna mwanadamu anaweza nyang'anya mwanadamu mwengine uraia wa kuzaliwa?
Bure kabisa wewe!
Chanjo inafanya kazi vizuri sana, sasa umeanza kutoa povu.Angalia ulivyo zuzu... kuna aliyekuuliza unaingiza shilingi ngapi hapa?! Watu wanajadili hoja yako ya kijuha ambayo inaonesha wazi kichwani mwako ni zero!!!
Sasa ni wazi kwamba hii chanjo ya majaribio inafanya kazi vizuri. Povu linawatoka
Still a vaccine is working right.
Chanjo inafanya kazi vizuri sana, sasa umeanza kutoa povu.
Look at you... finally unaamua kutuwekea avatar ya bint mrembo wakati hapo kabla hukuwa na hiyo avatar, sasa nani hapo chanjo imemwingia kama sio wewe mwenyewe 😀😂🤣?! Are you trying to play a woman card coz some gents including myself tend to refrain from harassing women, na kwamba unatafuta hiyo possibility ili usiwe harassed, au?!Still a vaccine is working right.
Povu linatutoka sababu ya kiasi kikubwa cha ujinga unachoonyesha hapa...Sasa ni wazi kwamba hii chanjo ya majaribio inafanya kazi vizuri. Povu linawatoka
Kwani we ni muarabuNapinga na kutokuunga mkono mtu yeyote kutukanwa, achilia mbali Rais. Hilo halikubaliki katika jamii yeyote ile ya wastaarabu. Lakini pia inategemea unatafsiri vipi matusi?
Hao TCRA wanahangaishwa na vitapeli vinavyoibia watu kwa sms za miamala na mambo madogomadogo ya uhalifu wa kimtandao sijui hadi na hilo hadi Rais awatishie?
Rais ajikite kwenye mambo ya msingi akiongozwa na katiba, sheria na kufuata utawala bora, atapunguza kwa kiasi kikubwa sana matusi ya rejareja.
Hayo mapendekezo yako ya hati za kusafiria ni mchakato wa kisheria. Watatolea maelezo wataalam.