chongoe
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 1,183
- 2,871
Nawaomba uongozi wa simba waipige stop kuzungumzia simba kwa njia yoyote ile sababu ukiona simba inazumziwa sana clouds basi tambua kuna jambo baya hapo kwenye mema wala watazungumza hata dakika moja haishi, kwa sababu hiyo nawaomba iwazuie clouds kuizungumzia kama ilivyokuwa radio one miaka ile mpaka akili iwakae sawa nawasilisha.