Kaka madenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2021
- 312
- 574
Hivi unatuonaje?unajua kuna siku shaffih dauda alikaa nyumbani kwake kawa bored akatengeneza mechi ya kirafiki kichwani kwake na baada ya hiyo mechi kuisha matokeo yakawa green warriors 2-simba 0
Kuja kuulizwa mechi imechezwa wapi na lini kaanza kujitetea ujinga mbaya zaidi walitangaza kabisa hapo redioni kwao,we unaona hao ni watu wenye akili timamu kweli?au wenye nia njema na simba.?
Yaani redio inatangaza matokeo ya mechi hewa???