Mkajenge barabara kule alikosema mbunge achana na mambo ya kuitwa kamati ya maadiliBunge ni mahala pa kuwasilisha mawazo ya taifa. Ni mahala ambapo nchi inatafajia mijadala mizito ya mambo mbalimbali ya taifa.
Ni jambo la kutia hasira na aibu, mbunge anafanya mzaha wa sarakasi mbele ya vyombo vya habari, live, tena wakati huu mgumu wananchi wanapambana na hali ngumu.
Huyu mtu anayelipwa milioni zaidi ya 12 anaenda kufanya kituko Cha ajabu, hivi wananchi wataelewaje?
Nashauri Bunge limuite kamati ya Maadili, CCM pia wamwite, sharti moja tu, aombe radhi mbele ya Bunge na wananchi wa Tanzania
Bora Serikali useme kwamba haitajenga barabara ya lami au itajenga miaka 30 ijayo kuliko kila mara kuahidiwa ahadi hewa kila mara..kilichosababisha mbunge akachukia na kuamua kupiga sarakasi ni ulaghai wa Ccm na uzembe wa serikali ktk kushughulikia kero na matatizo ya wananchi wa jimbo la Mbulu.
Yaani mtu WA kupeleka Milembe/Mirembe hospital tangia lini akawa WA kupeleka kwenye Kamati ya maadili!? Huyu Mtu alishapewa Ambulance akafanya hivyo hivyo, hayuko sawa
Tunasubiri kanuni za CCM na Bunge zimuandame kama nyuki waliowekwa kwenye kiroba, wakamwagiwa pilipili kichaa, wakatikiswa halafu wakaachiwa ukumbini
Lakini mkuu JokaKuu, enzi za Jiwe angethubutu kuruka sarakasi bungeni? Ni kama dharau hii...amejenga hoja.
..na ameruka sarakasi.
Lakini mkuu JokaKuu, enzi za Jiwe angethubutu kuruka sarakasi bungeni? Ni kama dharau hii.
Ni kweli kabisa kuhusu hiyo chuki ya Mbunge. Lakini sheria za Bunge haziruhusu sarakasi kuchezwa humo ndani. Huyu Mheshimiwa anastahiki adhabu kwa kadri ya sheria hiyo inavyotaka...kilichosababisha mbunge akachukia na kuamua kupiga sarakasi ni ulaghai wa Ccm na uzembe wa serikali ktk kushughulikia kero na matatizo ya wananchi wa jimbo la Mbulu.
Hizi akili za wapi?.Bunge ni mahala pa kuwasilisha mawazo ya taifa. Ni mahala ambapo nchi inatafajia mijadala mizito ya mambo mbalimbali ya taifa.
Ni jambo la kutia hasira na aibu, mbunge anafanya mzaha wa sarakasi mbele ya vyombo vya habari, live, tena wakati huu mgumu wananchi wanapambana na hali ngumu.
Huyu mtu anayelipwa milioni zaidi ya 12 anaenda kufanya kituko Cha ajabu, hivi wananchi wataelewaje?
Nashauri Bunge limuite kamati ya Maadili, CCM pia wamwite, sharti moja tu, aombe radhi mbele ya Bunge na wananchi wa Tanzania
Kwani kavunja sheria gani ,mbona yupo sawa tu,hapo kapeleka meseji kwa serikari itumize ahadi yake ya kujenga barabara kitu ambacho ni kizuri .Anadai maendeleo tumpongéze na kumtoa moyo.Bunge ni mahala pa kuwasilisha mawazo ya taifa. Ni mahala ambapo nchi inatafajia mijadala mizito ya mambo mbalimbali ya taifa.