Ushauri kwa Spika: ili kulinda hadhi ya Bunge, kwamba si sehemu ya mzaha, Mbunge aliyepiga sarakasi apelekwe kamati ya Maadili, aombe radhi nchi

Bunge ni mahala pa kuwasilisha mawazo ya taifa. Ni mahala ambapo nchi inatafajia mijadala mizito ya mambo mbalimbali ya taifa.

Ni jambo la kutia hasira na aibu, mbunge anafanya mzaha wa sarakasi mbele ya vyombo vya habari, live, tena wakati huu mgumu wananchi wanapambana na hali ngumu.

Huyu mtu anayelipwa milioni zaidi ya 12 anaenda kufanya kituko Cha ajabu, hivi wananchi wataelewaje?

Nashauri Bunge limuite kamati ya Maadili, CCM pia wamwite, sharti moja tu, aombe radhi mbele ya Bunge na wananchi wa Tanzania
Ni jinga tupu huu,unaleta masiara wakti maisha ya Raia mtaani wahajui kesho Yao,Ni aibu Sana Tena Kuta washirika katika jumaiya wanaona Ile video harafu mnataka tushindane nao katika kuvuta mawndeleo kwa mpumbavu Kama ule,ndio maana wakenya husema ukikaa na watz kwenye bunge la jumuiya wao huwaza kwenda kufanya Mall tu,sasa kweli mbunge unaleta ukatuni kwenye muhimili muhimu vile?
 
..kilichosababisha mbunge akachukia na kuamua kupiga sarakasi ni ulaghai wa Ccm na uzembe wa serikali ktk kushughulikia kero na matatizo ya wananchi wa jimbo la Mbulu.
Uzuri wote ni 'dugu' moja, acha waendelee kulana
 
Ingekuwa kipindi kile afanye mpinzani vifungu kibao vingetumika,kebehi na askari wangembeba msombemsobeni.
 
Bora huyu kafikisha ujumbe kwa kulishushia hadhi bunge kuliko mbunge mda wote anamsifia mwenyekiti wa chama Namur annulus hana wake bungeni hadi mda unakwisha.
 
..kilichosababisha mbunge akachukia na kuamua kupiga sarakasi ni ulaghai wa Ccm na uzembe wa serikali ktk kushughulikia kero na matatizo ya wananchi wa jimbo la Mbulu.
Sasa kuruka sarakasi kunasaidia nini? Yule ni kichaa tu. Kama ana hasira, na amechukizwa na Serikali kutotimiza ahadi, basi angemchapa kibao waziri, hapo tungejua kweli hasira zilimpanda.
 
Ni jinga tupu huu,unaleta masiara wakti maisha ya Raia mtaani wahajui kesho Yao,Ni aibu Sana Tena Kuta washirika katika jumaiya wanaona Ile video harafu mnataka tushindane nao katika kuvuta mawndeleo kwa mpumbavu Kama ule,ndio maana wakenya husema ukikaa na watz kwenye bunge la jumuiya wao huwaza kwenda kufanya Mall tu,sasa kweli mbunge unaleta ukatuni kwenye muhimili muhimu vile?
Aibu kubwa
 
Bunge ni mahala pa kuwasilisha mawazo ya taifa. Ni mahala ambapo nchi inatafajia mijadala mizito ya mambo mbalimbali ya taifa.

Ni jambo la kutia hasira na aibu, mbunge anafanya mzaha wa sarakasi mbele ya vyombo vya habari, live, tena wakati huu mgumu wananchi wanapambana na hali ngumu.

Huyu mtu anayelipwa milioni zaidi ya 12 anaenda kufanya kituko Cha ajabu, hivi wananchi wataelewaje?

Nashauri Bunge limuite kamati ya Maadili, CCM pia wamwite, sharti moja tu, aombe radhi mbele ya Bunge na wananchi wa Tanzania
Ameonyesha kwa vitendo kwamba fisiemu ni wazee wa sarakasi. Mbona ameeleweka ufikishaji wa taarifa bungeni upo wa namna nyingi hata kwa vitendo. Tena amewasaidia viziwi kuelewa lugha ya picha kwa haraka
 
Bunge ni mahala pa kuwasilisha mawazo ya taifa. Ni mahala ambapo nchi inatafajia mijadala mizito ya mambo mbalimbali ya taifa.

Ni jambo la kutia hasira na aibu, mbunge anafanya mzaha wa sarakasi mbele ya vyombo vya habari, live, tena wakati huu mgumu wananchi wanapambana na hali ngumu.

Huyu mtu anayelipwa milioni zaidi ya 12 anaenda kufanya kituko Cha ajabu, hivi wananchi wataelewaje?

Nashauri Bunge limuite kamati ya Maadili, CCM pia wamwite, sharti moja tu, aombe radhi mbele ya Bunge na wananchi wa Tanzania

Mbunge aliyeshinda kwa wizi wa kura,lazima apige sarakasi.

Mbunge aliyeshinda kwa wizi wa kura,atasema lugha ya kusukuma itumike kufundishia mashuleni.

Mbunge aliyesha shinda kwa wizi wa kura, hawakilishi matatizo ya wapiga kura wake kwakuwa hawakumchagua.
 
Katuma ujumbe- bungeni ni salakasi tupu za kucheza na maneno miaka 5, kupewa kinuua mgogo 250 million na v8 , dreva na mafuta juu
 
[emoji16][emoji16]
Hapakuwepo na uchaguzi,alikuwa mchekeshaji wa mwendazake.
Huku push ups,kule sarakasi
NASHANGAA HAWAZUNGUMZII PUSH-UP ZA MWENDAZAKE, km JPM alikuwa anafikisha ujumbe mzuri na hakuchukuliwa hatua yoyote, Basi naagiza wamwache na huyo mbunge atimize wajibu wake, huyo Ni mtoto tu, kaiga kwa babake jpm
 
..ishambulieni Serikali iliyoshindwa kutimiza ahadi ya kujenga barabara ya lami Mbulu vijijini kwa miaka 20 sasa.

..msimshambulie mbunge kwa kueleza ukweli na kuonyesha hisia zake kutokana na ulaghai wa CCM na Serikali.

Naunga Mkono hoja Yako Mkuu 100%[emoji1666][emoji123][emoji123]
 
..kilichosababisha mbunge akachukia na kuamua kupiga sarakasi ni ulaghai wa CCM na uzembe wa Serikali ktk kushughulikia kero na matatizo ya wananchi wa jimbo la Mbulu.
Sorry mtu akichukia anapiga sarakasi? This is new
But hata hivyo hiyo sarakas imemsaidia nn?
 
Back
Top Bottom