Ushauri kwa TEMESA hasa kunapokuwa na ambulance kivuko cha Mv Kazi

julaibibi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2020
Posts
3,081
Reaction score
4,224
Kila mara tunajribu kuwaambia kwa vile panton ni moja kipind hiki, nyakati za dharula msiwe mnajaza magari line tatu. Hii itasaidia vipi? Itasaidia abiria kuingia kwa haraka na kuondoka haraka kuliko magari yakiziba full matokeo yake watu wanaingia kwa kupenya.

Leo ambulance maskini mgonjwa imebidi kapteni aseme watu wasubiri kuingia ili wawahishe gari ya mgonjwa kwa sababu msururu wa kuingia watu kwenye kivuko ulikuwa unakwenda kwa spidi ndogo sababu hakuna pa kupita, chini kumejaa gari na hii hali ya kupenya kwa waliokuwepo mida ya saa 10.30 asubuhi wameona.

USHAURI. Nyakati za jioni peak hours line za motokaa ziwe mbili ili kusudi kuachiwa gape watu wapite kwa uharaka, na nyakati nyingine ambazo si peak utaratibu uendelee.
 
nyakat za jioni .peak hours line za motokaa ziwe mbili.ili kusudi kuachiwa gape watu wapite kwa uharaka. nanyakat zingine ambazo si peak utaratibu uendelee📌🔨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…