Opinionated
Senior Member
- Oct 23, 2010
- 135
- 81
Muheshimiwa Tundu Lissu,
Kwanza napenda kukupongeza kwa kuteuliwa kwako kupeperusha bendera ya chama chako katika uchaguzi huu wa 2020.
Pili, Sera hii yako ya Mifumo ya kifalme ni sera moja kubwa na yenye mashiko makubwa na yenye uwezo mkubwa wakuleta mapinduzi ya kifikra kwetu watanzania na hata mapinduzi ya kimabadiliko. Ombi langu kwako katika yote usemayo mahali popote upatapo nafasi wakati wowote usisitize hii sera.
Mimi nilikuwa sina uhakika hata kupiga kura lakini baada ya acceptance speech yako na hii sera yako nimehamasika sana. I might say you have hit the nail on the head. Let this be your continuous message and that, any policy proposals should be linked to this.
Please stir in us a spirit of Revolution!
Wish you all the best.