Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji87] [emoji87] [emoji31] [emoji31] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi wananikera na ule Ulimi sijui nini
Watu wanakosea kosea kuongea kijinga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenichekeshaa sanaMimi wananikera na ule Ulimi sijui nini
Watu wanakosea kosea kuongea kijinga
Sijawahi kukiona mbona?
Au kilikuepo kabla hatujamiliki TV
Kama nakikumbuka, kilikuwa kinapatanisha hata wapenzi waliogombana, niliwahi kukiona, hope ndio hicho.Sijawahi kukiona mbona?
Au kilikuepo kabla hatujamiliki TV
Ahaaaaa hapo nmekikumbuka..Kama nakikumbuka, kilikuwa kinapatanisha hata wapenzi waliogombana, niliwahi kukiona, hope ndio hicho.
[emoji2] [emoji2] kwel wewe raha unajipa mwenyeweKuna haja gani ya kuchekeshwa nao wakati Tanzania na mambo yake ni comedy tosha kabisa, kila siku nacheka hasa nikikumbuka ule utafiti wa 4:1 yaani hata barabarani ni kicheko tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata hili la Miss tz nalo si ni kichekesho, waliyafungia kwa miaka miwili ila wamerudi pale pale...... Mimi nacheka sana.[emoji2] [emoji2] kwel wewe raha unajipa mwenyewe
Kile kilisha ondolewa!juzi juzi tu nimekisahau jina
Kile kilisha ondolewa!
Kilikuwa kinaitwa "Tenga nikutenge" kilikuwa kina endeshwa na mdada anaitwa "Mimi Mars"!
Ahaa.... asante nilikuwa sijawahi kukitizama lakini matangazo yake niliyaona
Ahaa.... asante nilikuwa sijawahi kukitizama lakini matangazo yake niliyaona
Nasikiaga ni nduguHuyo mimi mars ni mdogo wake Vannessa Mdee
Hao wote wale wale tu...hakuna comedy iliyokua nzuri kama Original comedy ya kina mpoki enzi izo wako EATV...ilikua ni zaidi...wengine wanalazimisha faniEvance Bukuku the best hao wengine vijembe
Kwa mkua mke wako ni goli kipa bac unafikiri ma golia wote wanakipenda sioKipindi ni kizuri hasa watoto na wakina mama wa nyumbani wanakipenda sana. MC pilipili ana kipaji kizuri sana katika comedy aongeze ubunifu atafika mbali sana kimafanikio.