Ushauri kwa TV1

Ushauri kwa TV1

Bongo kuna wachekeshaji wachache sana kwenye ubunifu
Kile kipindi angepewa katarina wa karatu yule ni mchekeshaji kidogo anamkaribia kansime wa uganda, wataongeza watazamanji huu si muda wa kukopi na kupest
Amna kitu lets be honest atleast at last
 
MC Pilipili alichekesha hapa tu...
images

..wakati anaanza ila kila siku zinazoenda kwa mungu anazidi kuchuja.

badala ya kukua yeye anadumaa.

kurudia vichekesho na kucheka yeye badala ya watazamaji.

kile kipindi chake ni kibaya sana.

in general,namzidi kipaji.
 
Labda mie sina bandama lakini huyo pilipili hajawahi nichekesha wallahi wala huyo idrisa...tv1 nowdays inaboa hawasikilizi hata ushauri mfano hizo tamthiliya zimeshachosha,bora kujiangalizia movies za laptop huo muda

movie za laptop ndo zipi hizo mkuu!
 
Kuna siku nilimwambia mtu kuwa huyu pilipili anaboa sana sioni sababu ya yeye kuelezea wanachofanya wale jamaa kama kuna mtu wa TV 1 amepita hapa pls muondoeni huyo pilipili anakera sana kama hamuwezi kumfukuza basi mpangieni kazi nyingine
 
comedy moja hiyo hiyo...sisi wana kwaya tunaingia, yani nasikia kutapika tu
 
Jana jumamosi 6/11/2016 EATV walionyesha kipindi kipya cha Flora show mrembo mtanashati. MC Pilipili alionekana katika part ya kuwa MC katika harusi mbalimbali akionyesha kipaji chake cha kuchekesha, amechekesha biharusi, bwana harusi na waliohudhuria mpaka amepitiliza[emoji23] [emoji23]
*Amethibitisha kama yeye ana kipaji kilichopitiliza "naomba fuatilia japo marudio upate kuburudika" halafu uje na mrejesho mkuu
 
Hata sijui kama nitacheka kwakweli
 
Hata sijui kama nitacheka kwakweli
Waulize waliohudhuria kwenye harusi ya masanja mkandamizaji.
Halafu unafikiri wasanii wa original comedy wamekubali vipi apewe nafasi MC pilipili kuburudisha??
 
Hili TV la ajabu kabisa masaa yote wameweka mikanda tuu, hata ile mida ya asubuhi ya taarifa za habari na uchambuzi wa magazeti wao wako bize na film zilizoandikwa PGA , halafu eti usiku wanazima mitambo kabisa kwenda kulala
 
Back
Top Bottom