Ushauri kwa TV1

Mimi wananikera na ule Ulimi sijui nini

Watu wanakosea kosea kuongea kijinga
 
Kuna haja gani ya kuchekeshwa nao wakati Tanzania na mambo yake ni comedy tosha kabisa, kila siku nacheka hasa nikikumbuka ule utafiti wa 4:1 yaani hata barabarani ni kicheko tu.
 
Kuna haja gani ya kuchekeshwa nao wakati Tanzania na mambo yake ni comedy tosha kabisa, kila siku nacheka hasa nikikumbuka ule utafiti wa 4:1 yaani hata barabarani ni kicheko tu.
[emoji2] [emoji2] kwel wewe raha unajipa mwenyewe
 
[emoji2] [emoji2] kwel wewe raha unajipa mwenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata hili la Miss tz nalo si ni kichekesho, waliyafungia kwa miaka miwili ila wamerudi pale pale...... Mimi nacheka sana.
 
Mc pilipili yupo pia kwenye kipindi cha magezi cha radio times,,

kwakweli anakiharibu kabisa kipindi, binafsi huyu jamaa sijawahi muelewaga abadani!!

HAWA TIMES FM NAWASHANGAA HBR ZA SERIAZ MAGAZETIN WANAWEKA KOMEDY NAHISI PROGRAM MANEGER NI KIMEO?!!
 
Kweli mkuu. Jamaa anakera sana afu sauti yake sijui imekaaje nikionaga icho kipindi nabadilsha stesheni.
Uyo jamaa havutii kumtazama wala kumsikiliza
 
Kipindi ni kizuri hasa watoto na wakina mama wa nyumbani wanakipenda sana. MC pilipili ana kipaji kizuri sana katika comedy aongeze ubunifu atafika mbali sana kimafanikio.
Kwa mkua mke wako ni goli kipa bac unafikiri ma golia wote wanakipenda sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…