Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,070
Hao ndo hamna kitu yanii...hivi hawaambiwagiNi sawa na ze comedy ya EATV
Amna kitu lets be honest atleast at lastBongo kuna wachekeshaji wachache sana kwenye ubunifu
Kile kipindi angepewa katarina wa karatu yule ni mchekeshaji kidogo anamkaribia kansime wa uganda, wataongeza watazamanji huu si muda wa kukopi na kupest
Hakipo kile ndo kilikua cha kuangalia nashangaa wamekiondoa badala ya kumuondoa uyo pili piliwalikuaga na kipindi kimoja hivi cha kutongozana
mkikubaliana wanawakodia hotel sijui bado kipo
Yani sauti yake sijui imekaaje kiunoko flani hivWewe kama mimi mc pili hafai sauti mbaya kinaboa sana
Evance Bukuku the best hao wengine vijembe
We ni mama wa nyumbani kumbe ok*Natetea uwezo na kipaji cha MC pilipili mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
*Nawawakilisha mashabiki ambao ni wamama wa nyumbani na watoto wa shule wanamkubali sana MC pilipili na wanamjua kiukweli ukweli kwenye kazi zake
Labda mie sina bandama lakini huyo pilipili hajawahi nichekesha wallahi wala huyo idrisa...tv1 nowdays inaboa hawasikilizi hata ushauri mfano hizo tamthiliya zimeshachosha,bora kujiangalizia movies za laptop huo muda
IPO Star times channel 103.Tv1 IPO king'amuz gani?kama azam oops nilitupa huko hamna kitu
Yaani EATV comedy is Worse...ivi Original comedy waliachagaaa.??Ni sawa na ze comedy ya EATV
movie za laptop ndo zipi hizo mkuu!
Hata sijui kama nitacheka kwakweliJana jumamosi 6/11/2016 EATV walionyesha kipindi kipya cha Flora show mrembo mtanashati. MC Pilipili alionekana katika part ya kuwa MC katika harusi mbalimbali akionyesha kipaji chake cha kuchekesha, amechekesha biharusi, bwana harusi na waliohudhuria mpaka amepitiliza[emoji23] [emoji23]
*Amethibitisha kama yeye ana kipaji kilichopitiliza "naomba fuatilia japo marudio upate kuburudika" halafu uje na mrejesho mkuu
Waulize waliohudhuria kwenye harusi ya masanja mkandamizaji.Hata sijui kama nitacheka kwakweli