Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,347
- Thread starter
- #21
Nikajua labda Mimi naona hivyoSioni mantiki yake kufanya vile.... kwanza clip zenyewe hazichekeshi na wala yeye mwenyewe hachekeshi
Ana'force umaarufu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikajua labda Mimi naona hivyoSioni mantiki yake kufanya vile.... kwanza clip zenyewe hazichekeshi na wala yeye mwenyewe hachekeshi
Ana'force umaarufu....
Anapachika ni vichekesho vyake vya kitotooHamna ubunifu hata kidogo pale
Sio kweli MC pilipili hana Kipaji cha uchekeshaji ila anamaneno mengi,,unajua watanzania wanashndwa kutofautisha uchekeshaji na ulopokaji,,MC pilipili nikama mlopokaji hawezi kabisa kuchekeshaKipindi ni kizuri hasa watoto na wakina mama wa nyumbani wanakipenda sana. MC pilipili ana kipaji kizuri sana katika comedy aongeze ubunifu atafika mbali sana kimafanikio.
Bora hicho kipindi wampe katarina kwel kabisaaBongo kuna wachekeshaji wachache sana kwenye ubunifu
Kile kipindi angepewa katarina wa karatu yule ni mchekeshaji kidogo anamkaribia kansime wa uganda, wataongeza watazamanji huu si muda wa kukopi na kupest
Kwakweli kuendesha vipindi vya luninga hadi ukubalike inahitaji kujipanga sana.mimi tv 1 wananiboa sana kurudiarudia tamthiria mara 3 kwa mwaka km ya EZEL, OCTAVIO n.k
Basi bora watuwekee miziki ya kina salome tu kuliko vipindi visivyokua na tijaKwakweli kuendesha vipindi vya luninga hadi ukubalike inahitaji kujipanga sana.
Hata video na audio quality yao ipo chini sana.Basi bora watuwekee miziki ya kina salome tu kuliko vipindi visivyokua na tija
Hiyo sikujuaHata video na audio quality yao ipo chini sana.
Hahahaaaaa!! Sasa km ni chogo kwanini zingine quality iwe nzuri?Hiyo sikujua
nikajua labda ni sababu TV yetu niya kichogo[emoji2] [emoji2]
Yani huwa naonaga utofauti lakini sijatilia maanani[emoji85] [emoji85]Hahahaaaaa!! Sasa km ni chogo kwanini zingine quality iwe nzuri?
Ndio hivyo mama.Yani huwa naonaga utofauti lakini sijatilia maanani[emoji85] [emoji85]
hahaha sana tuKwakweli kuendesha vipindi vya luninga hadi ukubalike inahitaji kujipanga sana.
Huyu naona ni pilipili mbuziWale naona wananafuu maana wamejaribu kubuni vichekesho kuliko huyo pilipili