Ushauri kwa TV1

Ushauri kwa TV1

Kipindi cha aina ile kwanza hakitakiwi kuwa na mtangazaji. Pia mc pili pili na comedians wote wenye style ya kuongea kama watoto/wasichana mnaboa sana na hamchekeshi. Kuchekesha sio lazima uigize kama mtoto.
 
Kipindi ni kizuri hasa watoto na wakina mama wa nyumbani wanakipenda sana. MC pilipili ana kipaji kizuri sana katika comedy aongeze ubunifu atafika mbali sana kimafanikio.
Sio kweli MC pilipili hana Kipaji cha uchekeshaji ila anamaneno mengi,,unajua watanzania wanashndwa kutofautisha uchekeshaji na ulopokaji,,MC pilipili nikama mlopokaji hawezi kabisa kuchekesha
 
Bongo kuna wachekeshaji wachache sana kwenye ubunifu
Kile kipindi angepewa katarina wa karatu yule ni mchekeshaji kidogo anamkaribia kansime wa uganda, wataongeza watazamanji huu si muda wa kukopi na kupest
 
mimi tv 1 wananiboa sana kurudiarudia tamthiria mara 3 kwa mwaka km ya EZEL, OCTAVIO n.k
 
mimi tv 1 wananiboa sana kurudiarudia tamthiria mara 3 kwa mwaka km ya EZEL, OCTAVIO n.k
Kwakweli kuendesha vipindi vya luninga hadi ukubalike inahitaji kujipanga sana.
 
Labda mie sina bandama lakini huyo pilipili hajawahi nichekesha wallahi wala huyo idrisa...tv1 nowdays inaboa hawasikilizi hata ushauri mfano hizo tamthiliya zimeshachosha,bora kujiangalizia movies za laptop huo muda
 
Kwakweli kuendesha vipindi vya luninga hadi ukubalike inahitaji kujipanga sana.
Basi bora watuwekee miziki ya kina salome tu kuliko vipindi visivyokua na tija
 
Back
Top Bottom