enka mbe
Senior Member
- Sep 3, 2016
- 165
- 113
Kumekuwa na matukio mengi sana siku za karibuni na yakizid kuongezeka kadri siku znavyokwenda. Matukio haya yamekuwa yakitokana na kukosekana kwa uaminifu kwny ndoa. Lakini kitu cha kushangaza post zenye mambo yanayosapoti watu kutokua kuwa waaminifu (UCHEPUKAJI) mnazichekelea tu nakuziona kama zinaisodia jamii. Watu wanaweka uzi wa kusupport kuchepuka. Tena mtu anasema kuchepuka raha .. Hivi kweli tutakuwa tunajenga au tunabomoa. Ushauri wangu ni huu naomba threads kama hizo zenye kuchochea watu kutokua waaminifu ziwe znafutwa kuilinda jamii yetu na uovu unatokea kwenye ndoa. !!
By enka mbe
By enka mbe