Ushauri kwa uongozi wa JF

Ushauri kwa uongozi wa JF

enka mbe

Senior Member
Joined
Sep 3, 2016
Posts
165
Reaction score
113
Kumekuwa na matukio mengi sana siku za karibuni na yakizid kuongezeka kadri siku znavyokwenda. Matukio haya yamekuwa yakitokana na kukosekana kwa uaminifu kwny ndoa. Lakini kitu cha kushangaza post zenye mambo yanayosapoti watu kutokua kuwa waaminifu (UCHEPUKAJI) mnazichekelea tu nakuziona kama zinaisodia jamii. Watu wanaweka uzi wa kusupport kuchepuka. Tena mtu anasema kuchepuka raha .. Hivi kweli tutakuwa tunajenga au tunabomoa. Ushauri wangu ni huu naomba threads kama hizo zenye kuchochea watu kutokua waaminifu ziwe znafutwa kuilinda jamii yetu na uovu unatokea kwenye ndoa. !!

By enka mbe
 
asavali umenena km jukwaa la siasa kuna mada mbovumbovu hazijengi yaani huwa wanazifuta fasta ila huku wanaacha hata hizi za jinsi alivomgegeda mchepko

oooh sijui beki tatu mtamu jmn tunajenga tunabomoa?

kuna watu wanajitwikaga utaahira humu.
 
Yaani nmepitia coments kwny uzi wa kuchepuka raha ..yaani utagundua kuwa watu tunajitaji tubadilike. Jamij forum isiwe genge la kupandikiza akili za kuvunjisha ndoa. Yaani utakuta midume na mijike inasapotiana kuhus kuchepuka. Yaani watu wanauana kila siku kisa mambo ya kuchepuka lkn utashangaa Jamii forum hata hawazifuti hzo threads.

Cc Maxence
 
Me naona ziachwe tu,,maana zinaonyesha sababu ya mtu kuchepuka,,hivyo zina elimu pia.
 
Huwezi kuzuia kuchrpuka kwa thread ila ukiangalia kwa umakini comments za mule zingine zinaponda sana uhamasishaji wa kuchepuka kwa mtoa so ni vizuri kuacha jamii forum kuwa huru ili tujue Kila Jambo jamii linalionaje
 
Back
Top Bottom