Ushauri Kwa Urusi : Huwezi kuwaangamiza mchwa bila kumuua Malikia wao, Mwenzako Japan alilijua hilo na akajaribu Bahati yake

Nilipoangalia GDP za mwaka jana, inaonyesha kuwa Urusi alikuwa na Trillioni 1( moja), Marekani trillioni 23 (ishirini na tatu) Dola za Marekani. Niligundua kwamba Urusi ni nchi masikini sana.
 
Mnajitahd kuchepusha , kwamba alikuwa na option 2 πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ haya la kuchukua majimbo yanayopakana na yeye ni option ya ngapi
 
Moja ya watu waliochambua mgogoro huu wakiwa na mawazo guru na yenye uhalisia ni wewe.
Japo kidogo umeweka na ushabiki kidogo but nimekubali mchango wako ulio balance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…