Unaongea usi chokijua mkuu.russia hapigani na Ukraine ,pale anapigana na na Uk,US ,NATO na the like fans of United States.russia alijua tangu mwanzo kuwa marekani na fans wake lazma watapeleka msaada wa kijeshi Tena wakutosha ,so Russia alikuwa na 2 option in mind ,moja ikiwa marekani na fans wake wataogopa kupeleka military suport Ukraine Basi ampige zelensk na kumtoa on power na akabidhi power kwa mtu ambaye atakuwa humble kwa Russia ,au Kama US na fans wake wataingilia na kutoa support kimya kimya basi option ya kwanza anaachana nayo,na ajikite kumharibia kwanza Ukraine miundombino ya kijeshi lkn pia ,kulazimisha Ukraine kwa kipigo na hasara aliyoipata kuyasahau na kuachana na mpango wa kujoin NATO,pamoja na kusahau na kuachana na mpango wa kuyapogania majimbo Yale mawili ,ambayo ni majimbo muhimu Sana kwa Russia , for future plans .haya mqjimbo ni muhimu Sana kwa Russia hata zelensk anajua wazi haya majimbo ni muhimu kwa Russia kwa mipango ya baadae .
Kwenye medani ya kivita lazima ubalalqnce nguvu na skills,pasipo kuadhiri plans zako (ambitions).Japan kilichowagharim ni kuweka ambitions mbele zaidi ,bila kuweka balance ya skills & military power. Hata China ambitions yake kubwa ni kuitwaa Taiwan ,nguvu za kuichukua anayo ,lkn anajua impact ya kuharakisha kufanya hivyo na hapa ndo kubalnce skills na power ,pasipo kuadhiri ambitions yako. mkuu kwenye medani za kivita lzm uwe perfect kwa kila kitu,kule hakuna upumbavu wa kusema Mimi sio mungu mpaka niwe mkamilifu kwa kila Jambo [emoji23]. Kwenye medani ya kivita just a dot mistake u kill the whole plan!!!! Hitler alifeli kwa Hilo ,mistake moja na ndogo tu ya kumpuuza mrusi ,ika ua the whole plans!!
Sent using
Jamii Forums mobile app