Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Wazo zuri ,tatizo uaminifuKopesha laki laki watumishi wa umma wakulipe hata laki na 50 wanashida sana
Watu wanachukua kadi zao za mishahara all in all sipendi tabia hii basi tuWazo zuri ,tatizo uaminifu
Mh! Fanya utafiti wako vizuriSIKU HIZI NAONA BIASHARA YA CHAKULA CHA MIFUGO NA PEMBEJEO ZA KILIMO NDIO INALIPA ZAIDI ILA KWAKO WEWE MTAJI WAKO HAUTATOSHA
Kweli mzee baba harafu wakati mwingine badala ya kukupa pesa wanataka wakushushie sketKuhusu urembo watu wanakopa sanaaa alafu kulipa n kwa mafungu usiangalia mtaji unakata.
Salaam wana jukwaa
Naomba mnijuze/kushauri je kwa utawala huu wa Magufuli ni biashara gani ukiifanya inaweza kukulipa hata kama sio kwa faida kubwa lakini mzunguko wa bidhaa unakua nzuri
Hasa maeneo ya Mwanza ni biashara ipi?
Mtaji kuanzia Laki 5.
Mkuu ebu tupe uzoefu wako katika hili... Natamani kufanya hiki kitu piaMh! Fanya utafiti wako vizuri
Kwani ulikuwa unawaza kufanya biashara gani mpiga dili.Salaam wana jukwaa
Naomba mnijuze/kushauri je kwa utawala huu wa Magufuli ni biashara gani ukiifanya inaweza kukulipa hata kama sio kwa faida kubwa lakini mzunguko wa bidhaa unakua nzuri
Hasa maeneo ya Mwanza ni biashara ipi?
Mtaji kuanzia Laki 5.