Ushauri kwa vijana wa Tanzania: Mkiwa katika usingizi wa pono wao wanajichotea nyama zote

Ushauri kwa vijana wa Tanzania: Mkiwa katika usingizi wa pono wao wanajichotea nyama zote

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
Ebu kuweni makini huko serikalini watu wanajipakulia Nyama zote huku nyie mkiwa katika usingizi wa pono na mkiaminishwa kuwa ushoga ndo habari ya kufatilia hii ni spinning ili wao wajichotee Nyama zote.

Mkija Kupata ufahamu mtajikuta mmechelewa hakuna Mtu ambaye hajui kuwa ushoga ulikuepo hapa Tz na hauwezi kuisha kwa kelele za kutype katika keyboard as the same ilivyo Biashara haramu ya wanawake kujiuza .

Serikali inapata furaha Sana vijana mkishindwa Kujitambua mkikesha na kupambana mitandaoni na Mapunga huku mkisahau maswala yenu muhimu Kama Ajira, Elimu Bora, Afya, fursa n.k

Mtu unajijua wewe ni job seeker then unapoteza bando lako kufatilia habari za Mapunga , wakati upo Mtaani miaka 2-7
 
Nilisikiliza kipind cha maoni yako cha DW siku ya jumamosi iliyopita, aisee fatma na wenzake waliongea ukwel bila kupepesa macho!! Raia wa kitanzania ndio wa kujilaumu kweny haya yanaondelea, cz ilipaswa kuamka na kupiga kelele juu ya ufisadi. Mwisho wakatoa ushauri. Utawala usijidanganye utaendelea kuiba miaka yote cku inakuja ukimya wa watanzania utafika kikomo chake! Ni heri san watawala wakabadilika kabla haijafika nyakat mbaya!
 
Tuko busy tunafuatilia diamond na zuchu, sijui lemutuz na nini, sijui nani shoga hayo ya CAG vijana wenzangu wa kitanzania hatuna habari nayo.

Ndio maana content nyingi za media ni upuuzi ukitengeneza content za maana za mambo yenye issue za msingi hata wafuatiliaji hupati njaa itakuua.
 
Nchi inajiendea tu kama gari la taka soon itawekwa kwenye list ya nchi mufilisi kwa ufisadi. Watu wanawaza kuongeza mabus na malori tu kwa kodi zetu
 
Achenie kuwatukana vijana!

Unataka wafanyeje? Waingie barabarni wachapwe risasi?

Swala la wizi ni la kimfumo na kama nchi tumeruhusu haya yatokee yaani dola imeamua kulinda wabadhirifu na mafisadi katika nchi yaani walinzi wa mipaka na majeshi yote plus maafisa usalama wameamua kwa pamoja waruhusu wizi,ufisadi na ubadhirifu sasa unataka raia wafanyaje!!? Waache kutafuta mkate waandamane!!?vyombo vya ulinzi na usalama vinafanya nini!!!?
 
Nilisikiliza kipind cha maoni yako cha DW siku ya jumamosi iliyopita, aisee fatma na wenzake waliongea ukwel bila kupepesa macho!! Raia wa kitanzania ndio wa kujilaumu kweny haya yanaondelea, cz ilipaswa kuamka na kupiga kelele juu ya ufisadi. Mwisho wakatoa ushauri. Utawala usijidanganye utaendelea kuiba miaka yote cku inakuja ukimya wa watanzania utafika kikomo chake! Ni heri san watawala wakabadilika kabla haijafika nyakat mbaya!
Kubadilika hawawezi tena.kila kitu kimeshawashinda.Ndo maana wanajineemesha wawezavyo ili wasitoke kapa.shida ni lini wananchi wataamka japo sio mbali sana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nchi inajiendea tu kama gari la taka soon itawekwa kwenye list ya nchi mufilisi kwa ufisadi. Watu wanawaza kuongeza mabus na malori tu kwa kodi zetu
Kuna kiongozi mpaka alijenga international Airport huko kwao, hii nchi hii
 
Back
Top Bottom