DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Kubadilika hawawezi tena.kila kitu kimeshawashinda.Ndo maana wanajineemesha wawezavyo ili wasitoke kapa.shida ni lini wananchi wataamka japo sio mbali sana.Nilisikiliza kipind cha maoni yako cha DW siku ya jumamosi iliyopita, aisee fatma na wenzake waliongea ukwel bila kupepesa macho!! Raia wa kitanzania ndio wa kujilaumu kweny haya yanaondelea, cz ilipaswa kuamka na kupiga kelele juu ya ufisadi. Mwisho wakatoa ushauri. Utawala usijidanganye utaendelea kuiba miaka yote cku inakuja ukimya wa watanzania utafika kikomo chake! Ni heri san watawala wakabadilika kabla haijafika nyakat mbaya!
Kuna kiongozi mpaka alijenga international Airport huko kwao, hii nchi hiiNchi inajiendea tu kama gari la taka soon itawekwa kwenye list ya nchi mufilisi kwa ufisadi. Watu wanawaza kuongeza mabus na malori tu kwa kodi zetu