Kama mna ndugu zenu na mnapanga kuwapa nafasi mnazotangaza kindugundugu basi acheni kusumbua watoto wa maskini kwa kuwaalika kwenye saili zenu feki.
Unakuta watoto wa maskini wanakopa hadi nauli kwaajiri ya kuhudhuria saili zenu kumbe ni formality tu na mshaandaa watu wenu wa kuwapa hizo nafasi.
Hao vijana mnaowasumbua kuja kwenye interview zenu kumbukeni kuna watu nyuma yao wanawategemea na wanawaombea wapate kazi ili waweze kuwasaidia sasa mnapoleta mambo yenu ya kupeana kindugundugu hizo nafasi tambueni mnapata dhambi kubwa sana na ndio maana mkifa mnanuka sana sababu ya dhambi zilizowajaa.
Am done.