Ushauri kwa waajiri

Ushauri kwa waajiri

Nyamalapa

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
211
Reaction score
469
Kama mna ndugu zenu na mnapanga kuwapa nafasi mnazotangaza kindugundugu basi acheni kusumbua watoto wa maskini kwa kuwaalika kwenye saili zenu feki.

Unakuta watoto wa maskini wanakopa hadi nauli kwaajiri ya kuhudhuria saili zenu kumbe ni formality tu na mshaandaa watu wenu wa kuwapa hizo nafasi.

Hao vijana mnaowasumbua kuja kwenye interview zenu kumbukeni kuna watu nyuma yao wanawategemea na wanawaombea wapate kazi ili waweze kuwasaidia sasa mnapoleta mambo yenu ya kupeana kindugundugu hizo nafasi tambueni mnapata dhambi kubwa sana na ndio maana mkifa mnanuka sana sababu ya dhambi zilizowajaa.

Am done.
 
Punguza jazba Kaka.. Mm nkushaur jambo

Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
 
Kama mna ndugu zenu na mnapanga kuwapa nafasi mnazotangaza kindugundugu basi acheni kusumbua watoto wa maskini kwa kuwaalika kwenye saili zenu feki.

Unakuta watoto wa maskini wanakopa hadi nauli kwaajiri ya kuhudhuria saili zenu kumbe ni formality tu na mshaandaa watu wenu wa kuwapa hizo nafasi.

Hao vijana mnaowasumbua kuja kwenye interview zenu kumbukeni kuna watu nyuma yao wanawategemea na wanawaombea wapate kazi ili waweze kuwasaidia sasa mnapoleta mambo yenu ya kupeana kindugundugu hizo nafasi tambueni mnapata dhambi kubwa sana na ndio maana mkifa mnanuka sana sababu ya dhambi zilizowajaa.

Am done.
imekuwaje huko
 
Mambo mengine mnajitakia

Nafasi za watu 50 kwenye interview mmeitwa 5000 unaenda kugundua nini halafu ukute ni mbali
 
Back
Top Bottom