- Thread starter
- #21
Ninachofahamu(baada ya kuambiwa na mtu aliyeko jikoni) ni kwamba, wale walimu wa somo moja watachukuliwa kidogo then baada ya awamu ya kwanza kureport basi wataongezwa baadae kulingana na ukomo wa bajeti. Lakini kuhusu BAED majina yao wote yako kwenye orodha ya ajira awamu ya kwanza.
point hapa ni somo la kisw na history waalim ni wengi,haijalishi BAED WALA NINI