USHAURI:kwa Waalimu wa kiswahili na historia, jiandaeni kisaikolojia.

point hapa ni somo la kisw na history waalim ni wengi,haijalishi BAED WALA NINI
 
Dj na ajira za ualimu wapi na wapi bana?we nenda kapigie mziki wacheza dansi wenzio pale maisha club.
 
Kweli kabisa, kaka yupo wizarani kanambia hivyo pia
 
Vipi kuhusu wale wenye masomo ya history-geography,history-language[english],kiswahili-geography na kiswahili-english?
Naomba muongozo hapo mkuu.
 
Vipi kuhusu wale wenye masomo ya history-geography,history-language[english],kiswahili-geography na kiswahili-english?
Naomba muongozo hapo mkuu.

baba lai, you are in good position to be taken coz shida ni kwa wale wa mchanganyo wa masomo kama hist and kisw na wenye single subject kisw,hist
 
Acheni kuwapa wenzenu mapresha !! Kwatetesi tu hamjambo!!
 
Sasa Mnapata Tabu Ya Nini? We Ndio Unaeajiri? Kwanini Huko Jikoni Usiambiwe Tarehe Ya Kutoa Ajira? Kwani Ukikaa Kimya Utaumwa Mkuu? Mi Nishauri Tu Watu Waache "tetesi" Kama Ajira Zikitoka Na Hk Hawajaajiriwa Njoo Hapa Ufungue Uzi...

allan.
 
Unajifariji! Walimu wa kiswahili ni hadimu kuliko wa geography! Pia walimu wa kiswahili wananafasi ya kufundsha kiswahili AFRICA MASHARIKI NA KATI!
 
wewe mwanaume mzima na nywele kila sehemu unasoma masomo ya kike(arts)!...afu ukiwa humu na wewe unajiita mwanaume!!...me naona wasiyaajiri manamume ya arts!...atleast wanawake ina make sense!

Acha kashfa za kishamba mkuu!Una maanisha nini kusema masomo ya kike?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Yeah, tunakoelekea huenda walimu wataanza kuajiriwa kwa GPA kama kigezo cha kupunguza watu maana ushindani ni mkubwa halafu nafasi ni chache,idadi ya watu ni kubwa (teacherz)
Nimekuelewa mkuu,ila kazi ipo....
 
Kwa taarifa yako, practically wa-kenya wame-dominate hiyo fursa
Unajifariji! Walimu wa kiswahili ni hadimu kuliko wa geography! Pia walimu wa kiswahili wananafasi ya kufundsha kiswahili AFRICA MASHARIKI NA KATI!
 
wewe mwanaume mzima na nywele kila sehemu unasoma masomo ya kike(arts)!...afu ukiwa humu na wewe unajiita mwanaume!!...me naona wasiyaajiri manamume ya arts!...atleast wanawake ina make sense!

you ----ing bastard stay silent if you have nothing new 2 say kamwambie ur bitch mama hayo maneno
 
na wewe umeambiwa na mjomba eeeh?tumechoka na tetesi na kwa taarifa yako iyo uliosema ni uongo,kiingereza hjui ujifanya kuandika,kisa umesoma kiswahili na english and nishakujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…