Uchaguzi 2020 Ushauri kwa waandaaji wa Kampeni za CHADEMA

Ninyi Wazinza mko wachache sana hapa Mwanza Sisi Wasukuma na Wakurya na Waha ndio tunalifanya Mwanza lionekane jiji

Ninyi rudini Visiwani mkakabane makoo na na hao maafsaa wenyekufuatilia ukubwa wa samaki
Kumbe wewe ni muhaaaa, ndiomaaanaa unabisha vitu vya hovyohovyooo, na bila shakaa unakaa mtaaa wa igogo na bugarika kwa wakuria, nakazi zenu zinafahamikaaa saaanaa, ukisikia kibaka amechomwa moto ujue ni makundi yenu ya igogoo. Pole saaana kijana muwa wa ubishiiii
 

Leo huku mtaani kila mtu anaongelea ahadi ya kununua tena ndege 5 [emoji28]. Watu wamezidi kuchoka. Wanauliza hivi bwana mkubwa anatuchukuliaje? Ila nimefurahi, Watanzania wazidi kuona mbivu na mbichi kabla ya uchaguzi. Ameshindwa hata kuwadanganya jamani? Straight kazuka na ndege 5 na uwanja wa Dodoma! Hapo anatuonyesha ni namna gani anafanyaga maamuzi ya kugharimu taifa hela nyingi kwa ghafla (kutoka kichwani mwake kwa kuzuka tu).

All in all (kama Baba Levo).. Lissu na team yako leo mmezidi kuwa vizuri kwenye kuwaelewesha Watanzania juu ya yanayoendelea. Ama kwa hakika, tunakwenda vizuri. Na huku mtaani mapokeo ya mnayoyaongea ni makubwa sana. Watu wanasikiliza sana hotuba kupitia mitandao. Kwa hiyo kitengo cha habari kisilale. Wasipofika mikutanoni ujue wako wanatafuta riziki (wananchi wamebanwa mno na makodi ya kila aina), ila wanasikia.
 
Ewe Mwana CCM jua kuwa unatembea na Laana zinazifanywa na Chama chako
CCM inaua CCM inapoteza CCM inawalawiti watanzania walioko Magerezani CCM inatumia watumishi wa Mungu wenye kutumia uchawi CCM inalitapeli taifa kwa kukuibia wewe na kukudanganya CCM inaenda kukopa mafedha mengi ambayo hata vilembwe hawatokuja kulipa
CCM inachezea mikopo yenye riba kubwa ambayo sio vipaumbele vyetu
CCM imefanywa genge la Mafia la kusaka yeyote na kuwabambikia kesi kwa Njama kama za Mdude
CCM inawalinda Majangili kama Mbunge wa Kishapu Shinyanga
Naona niishie hapo kwa sasa ila siku mkifungua macho kama Wamalawi ndio Tanzania ya Ahadi itaapokamilika

*CHA KUKUMBUKA UNATEMBEA NA LAANA KAMA ILIVYOKUWA KWANGU KABLA SIJAIHAMA CCM KWA SASA TIBA YANGU IMEKUBALIWA NIKO NA WATU WENYE NIA YA KWELI YA KUIONDOA LAANA NCHINI EWE MUNGU KIBARIKI CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO*
 
Unafikiri hizo amshaamsha za wanamziki zinafanywa bure? Unadhani hao wasanii wote wanaenda kwenye majukwaa ya CCM kwa kupenda pamoja na kuwa wanalipwa ?
Fikiria upya.

Watanzania tusisahau kuwachangia wenzetu campaign ziende vizuri. Safari hii wamebanwa kila kona ili wasiweze kuwafikia wananchi. So kuchanga shilingi mbili tatu ni muhimu sana.
 
Watanzania tusisahau kuwachangia wenzetu campaign ziende vizuri. Safari hii wamebanwa kila kona ili wasiweze kuwafikia wananchi. So kuchanga shilingi mbili tatu ni muhimu sana.

Wamebanwa mno, just imagine hata speech ya Lissu huko Segerea wamerusha nusu tu. Ukicheki online TV zote zimefanya hivyo
 
Unadhani Lissu atafika Kura za Lowassa kwa sababu ya Kuongea?, unadhani watu milioni sita walikuwa hawajui kuwa Lowassa sio mzungumzaji?


Kwenye Jamii kuna kitu inaitwa Peer Influence

Ni kweli hoja yako ya Kwenye Jamii kuna kitu inaitwa Peer Influence, lakini wafuasi wa CHADEMA wanaamini Lissu ndio mwarobaini wa kukifufua!!!

Pamoja na kutokuwa na maandilizi mazuri, kama Mkuu Intelligent Electronics ulivyohoji kwenye mada yako tunayochangia mawazo, Lissu nimemsikiliza kwenye hotuba zake zote (kutafuta wadhamini na kampeni). Zote zimejaa majigambo ya uanasheria wake, kebehi na dharau dhidi ya Magufuli, tuhuma dhidi ya Serikali kana kwamba anawasilisha madai mahakamani.

Kile anachoita Sera (haki na uhuru) ni mwendelezo wa tuhuma zake dhidi ya Magufuli (ati dikteta uchwara) ambazo zina harufu ya uchochezi na kusababisha kufunguliwa mashitaka. Leo anadai pesa zinakwapuliwa na kujenga Chato.

Kwa kweli Lissu hajui kama hajui kuwa nafasi anayogombea ni ya juu kabisa katika nchi hivyo anahitajika kiongozi wa upatanisho. Anashabikiwa na/au kushabikiwa na vijana wahuni wa mitaani ama wavuta bangi.
 
Mkuu, mbona tuko huku JF 24/7 tunatoa hamasa kwenye mtandao. Chama chetu ni cha mitandaoni, huko mashinani hata kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa tulijitoa (ufahamu) 😂😂😂
 
Huyu jamaa Intelligent Electronics bado yupo 2015 haelewi dunia ya leo 2020 na uzuri hiyo 25 K itakuwa shared, uploaded, replayed, kusikilizwa ktk kundi / familia n.k kwa pamoja mpaka Oktoba 28 siku ya kupiga kura hivyo ina mguso daima.
Ana hoja pia nadhani kuna udhaifu katika utoaji taarifa wa mikutano yetu.

Tunatakiwa kuhakikisha vijana wanaiteka mitandao ya kijamii hasa facebook, instagram, Twitter, na You tube.

Vyombo vya habari viko gerezani lakini tutafute watu mashuhuri, Dk Lwaitama, prof Baregu na wachambuzi wengine wawe wanafanya uchambuzi wa ilani yetu.

Campaign aa CHADEMA zirekodiwe in videos an audio ili ziwe shared tutafute makondakta wa daladala, bodaboda na mabasi wawe wanazicheza kwenye mabasi yao.

Tuhakikishe kila mwanachama apate hizi audio na kuzisambaza kwa watu.

We have to act now.
 
Kwa kweli Lissu hajui kama hajui kuwa nafasi anayogombea ni ya juu kabisa katika nchi hivyo anahitajika kiongozi wa upatanisho. Anashabikiwa na/au kushabikiwa na vijana wahuni wa mitaani ama wavuta bangi.

..mbona amesisitiza kwamba ataunda Tume ya Ukweli na Maridhiano?

..pia amesema atakuwa mfariji mkuu wa waTz wanaopatwa na matatizo au maafa.

..kuna mambo anayasema TL ktk kampeni yalitakiwa yasemwe bungeni, ila mnafahamu kwamba wabunge walizibwa midomo.
 
Naipenda CDM siwezi kupoteza kura yangu kuipa CCM.
Kiukweli kabisa Mbowe hakustahili kuwa mwenyekiti tena kaishiwa maarifa mapya.
Amsha amsha hazipo kabisa as if ndo mara ya kwanza tunashiriki uchaguzi mwaka huu.
Mbowe anapoteza muda anaposimama na kutoa hotuba za kipuuzi sana badala ya kumwacha John Mnyika ,Salum Mwalim, Mrema, na Mwalim Mkuu wa Siasa Tundu Lisu.

Mbowe hana jipya zaidi ya kurudia rudia aliyoyasema lisu

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 

Kutoa ahadi kila mtu anaweza kama ilivyo kwa ndoto. Kubadilisha ndoto kuwa kweli ni ndoto nyingine.

Kwa kauli na mwenendo wake, Lissu siyo kiongozi wa kutekeleza hayo. Siku atakayomaliza hotuba bila kumshambulia Magufuli, hiyo siku wanyama watashangilia. Kiongozi wa aina hiyo ndiye atagemewe kuunda Tume ya Ukweli na Maridhiano!
 

Nani ampe shetani nchi. Hapati ng'o. Akauze shamba lake na mke wake, sio Tanzania yetu
 
Huyu au yupi?[emoji116]
 
Kwenye hiyo mitandao Lisu alishakataliwa!

Ukitaa kuamini nenda kaone coment za watu kuhusu Lisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…