Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Mbona unatumia picha za 2015Huyu au yupi?[emoji116]View attachment 1553775View attachment 1553776
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unatumia picha za 2015Huyu au yupi?[emoji116]View attachment 1553775View attachment 1553776
Hii hali imesababishwa na sheria mbovu ya vyombo vya habari.Hapa nakubaliana nawe wachambuzi mahiri wa kisiasa Tanzania hakuna hasahasa ktk Radio, Televisheni na magazeti.
Dr. Lwaitama, Jenerali Ulimwengu , Askofu Bagonza, Sheikh Ponda ni wachache sana kwa nchi hii yenye wasomi na wazee wengi wenye uzoefu. Si siasa tu hata fani zingine watu hawajitokezi kuchambua masuala mengi ya kijamii, kiuchumi n.k mbali ya hili la siasa tuliyonayo ktk siku hizi 60 kuelekea uchaguzi wa Oktoba 2020.
Na huu ni ugonjwa wa waTanzania wote bila kujali vyama , CHADEMA hawastahiki kulaumiwa maana waTanzania hamjitokezi lakini hatua wanazochukua mpaka sasa CHADEMA wanastahili pongezi na sisi pia kujitokeza kufanya uchambuzi mitandaoni buree bila kuilaumu CHADEMA au vyama vingine vya upinzani.
Ni kweli hoja yako ya Kwenye Jamii kuna kitu inaitwa Peer Influence, lakini wafuasi wa CHADEMA wanaamini Lissu ndio mwarobaini wa kukifufua!!!
Pamoja na kutokuwa na maandilizi mazuri, kama Mkuu Intelligent Electronics ulivyohoji kwenye mada yako tunayochangia mawazo, Lissu nimemsikiliza kwenye hotuba zake zote (kutafuta wadhamini na kampeni). Zote zimejaa majigambo ya uanasheria wake, kebehi na dharau dhidi ya Magufuli, tuhuma dhidi ya Serikali kana kwamba anawasilisha madai mahakamani.
Kile anachoita Sera (haki na uhuru) ni mwendelezo wa tuhuma zake dhidi ya Magufuli (ati dikteta uchwara) ambazo zina harufu ya uchochezi na kusababisha kufunguliwa mashitaka. Leo anadai pesa zinakwapuliwa na kujenga Chato.
Kwa kweli Lissu hajui kama hajui kuwa nafasi anayogombea ni ya juu kabisa katika nchi hivyo anahitajika kiongozi wa upatanisho. Anashabikiwa na/au kushabikiwa na vijana wahuni wa mitaani ama wavuta bangi.
Sasa unataka atuhumiwe nani kwa kuminya uhuru na haki za wananchi?
Magufuli lazima atuhumiwe na ni lazima ang'olewe madarakani hapo october 28 kwa sababu hafai na ndo aliyeharibu nchi!
Eti Magufuli asisemwe, kwa nini asisemwe wekati matendo yake mabaya kwa nchi hii ni ajenda halali ya kisiasa mbele ya wananchi ili wamkatae?
Tulieni dawa iwaingie, kama mlidhani Magufuli angeweza kuminya haki na uhuru wa watu kisha akago away with it, haitotokea this time around!
Na ndio wengi sasaKumbe wewe ni muhaaaa, ndiomaaanaa unabisha vitu vya hovyohovyooo, na bila shakaa unakaa mtaaa wa igogo na bugarika kwa wakuria, nakazi zenu zinafahamikaaa saaanaa, ukisikia kibaka amechomwa moto ujue ni makundi yenu ya igogoo. Pole saaana kijana muwa wa ubishiiii
Haaaaa haaaaaaa. Nimechekaaaa kwaaakweliiii, nipe habari zingine za igogo nimepamiss saaanaaa.Na ndio wengi sasa
Mnajichekeesha nini tulieni dawa ziwaingie mwanzo huwa inauma ukizoea unaitafuta mwenyeweHaaaaa haaaaaaa. Nimechekaaaa kwaaakweliiii, nipe habari zingine za igogo nimepamiss saaanaaa.
Wazima huko lakiniiiii?
Sawaa baaabaaaa.Mnajichekeesha nini tulieni dawa ziwaingie mwanzo huwa inauma ukizoea unaitafuta mwenyewe
Kibaya zaidi wapiga kura wengi hawana smartphone.Nikilinganisha na kampeni za 2015. Lowassa alikuwa akivutia umati mkubwa lakini anashindwa kunadi sera. Wengi alikuwa akiwakatisha tamaa. Hapa Dar aligawana kura sana na Magu na alimzidi kura chache sana. Wabunge wengi wa Dar (Mdee, Mnyika, Kubenea etc) walipata kura nyingi kuliko Lowassa.
Kampeni za 2020 bado hazijavuta mikusanyiko ya mikubwa. Lakini Lissu ananadi sera vizuri. Wakiendelea kusambaza hizi short videos za Lissu kwa wapiga kura kupitia Twitter, Facebook, Instagram na WhatsApp watawafikia mamilioni ya watanzania bila kuhitaji hayo mashindano ya nyomi. Siasa ni sayansi.......na cha muhimu ni Lissu aendelee kuwashawishi wapiga kura.......Na anafanya hiyo kazi vizuri.......