Uchaguzi 2020 Ushauri kwa waandaaji wa Kampeni za CHADEMA

Hii hali imesababishwa na sheria mbovu ya vyombo vya habari.

Nani atathubutu kwenda kwenye chombo cha habari kufanya uchambuzi wakati kinachotakiwa kusikika kwenye vyombo vya habari ni utekelezaji wa miradi ?
 

Sasa unataka atuhumiwe nani kwa kuminya uhuru na haki za wananchi?

Magufuli lazima atuhumiwe na ni lazima ang'olewe madarakani hapo october 28 kwa sababu hafai na ndo aliyeharibu nchi!

Eti Magufuli asisemwe, kwa nini asisemwe wekati matendo yake mabaya kwa nchi hii ni ajenda halali ya kisiasa mbele ya wananchi ili wamkatae?

Tulieni dawa iwaingie, kama mlidhani Magufuli angeweza kuminya haki na uhuru wa watu kisha akago away with it, haitotokea this time around!
 

Ati wasema Magufuli lazima atuhumiwe na ni lazima ang'olewe madarakani hapo october 28 kwa sababu hafai na ndo aliyeharibu nchi! ni ishara kuwa umekosa hoja na uko tayari kwa lolote asiingie madarakani. Hongera kwa dhamira hiyo nikiamini una nguvu za kutimiza hilo.
 
Na ndio wengi sasa
 
Haaaaa haaaaaaa. Nimechekaaaa kwaaakweliiii, nipe habari zingine za igogo nimepamiss saaanaaa.
Wazima huko lakiniiiii?
Mnajichekeesha nini tulieni dawa ziwaingie mwanzo huwa inauma ukizoea unaitafuta mwenyewe
 
Ndiyo waelewe kuwa nchi haiendeshwi kwa kupitia mitandao, drones na safari za mitaa ya firigisi.

CCM ni ushindi wa 100% tarehe 28 October, 2020.

Rais wa Tanzania ni Mhe. Dr. Magufuli.
 
Kibaya zaidi wapiga kura wengi hawana smartphone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…