Ushauri kwa waandaaji wa maandamano na waandamanaji tarehe 23/09/2024

Too much verbosity with little tangible contribution. You're too wasteful with words.
 
Tunatofautiana kwenye point ya msingi kidogo sana.
Ili twende sawa, kwanza niondoe kwenye title ya uCdm wala Ccm, sifuati mrengo wa chama chochote mie.

Mikakati na mipango ya kudumu unayosihi Cdm wafanye bila kuitaja kuwa inatakiwa iwe ya namna gani, basi hoja yako inaelea na kukosa mashiko.

Madhumuni ya maandamano wanayotarajia kuyafanya si ya kutafuta popularity ya kuungwa mkono kisiasa, bali ni kwa kuishinikiza Serikali itimize wajibu wake kikatiba wa kulinda maisha ya watu na usalama wao, kama kuna agenda nyingine basi sisi hatuelewi.

Tanzania kwa sasa haina Wabunge halali wa kuweza kuwakilisha mawazo ya wananchi na yakafanyiwa kazi, kwa sababu za wazi ambazo kila mtu anaelewa walipatikanaje, na wapo Bungeni kwa maslahi ya nani.

Kwa hiyo sisi tunawaona Cdm kama wamebeba uwakilishi wa vilio vya waTz vinavyotokana na Serikali kukojolea katiba na kukataa kuwajibika kwa kujivunia vyombo vya dola.

Nitapenda utoe uzoefu wako kwa namna ambayo unaona Cdm wafanye ili kuungwa mkono na umma, ili kuishinikiza Serikali hatimaye iweze kutimiza wajibu wake kikatiba.
 
Mtamfilimbwa mpaka mjishangae wenyewe kwa wenyewe.
Nimeanza kuwaonea huruma kabla ya tukio.
NB
TANZANIA SIO KENYA
Natamani nikutukane nakuonea huruma mpumbavu wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…