Ushauri kwa wachungaji,manabii na nitumie wa sasa (kizazi kipya)

JOHNGERVAS

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2016
Posts
1,487
Reaction score
2,599
Kwenye makanisa ya sasa mtaji mkubwa na nguvu ya kanisa ni watu,yaani kanisa au huduma Yako ipate watu wengi.

Kwa dar sasa Imejaa makanisa yapo mengi mno na wanaonufaika ni wale wenye majina ie Mwamposa,kuhani Musa an CO.

Mkoa mzuri kwa Huduma kwa sasa ni Dodoma,dodoma inakuwa sana kwa haraka ina watu wengi mno ila hakuna uamsho kama Dar.

Kwa manabii na mitume ambazo wanataka kutengeneza Ngome wekeza Dodoma hasa kwenye upande wa radio za Dodoma kwanza ni Bei rahisi sana kununua airtime dodoma Usiku mzima unalipa laki moja au mbili TU massa karibu matano, ukiwekeza huku ytajitengenezea ufalme wako.

Mwamposa TU had sasa ndio amewekeza Dodoma weengine Bado hawajashtuka. Ukiwekeza weka na Tawi Dodoma ukizichnga vizuri utajenga ufalme wako Mkubwa sana hapa Dom sio dar ambapo radio zote zimeshikikiwa na watu

Watu wa Dom wanapenda sana waganga, na uchawi hiyo wanahitaji Nuru.ukiwa nabii wa kweli au wa Uongo Dom inakufaa wa kweli utaponya Roho nyingi sana, wa Uongo utapiga sana hela mzeee.

Ukihitaji ushauri karibu PM

Siku nyingine nitawaletea fursa nyingine zinazopatikana Dom. Machimbo ya Viwanja vya bei poa nk
 
Mkuu umetumia maneno makali sana. Sidhani kama ni wachawi labda utudhibitishie hapa
Wanaga tu hao, mtu (mjinga mmoja anaitwa Suguye wa Matembele ya Pili Kivule) anakwambia njoo na kucha na nywele zako za mbele zifunge kwenye kitambaa cheupe uje tufanye maombi ya ukombozi, huu sio uganga? Maombi gani haya?
 
Duuuh.
 
Hivi mnajua kuwa mwamposa alianzia huduma yake moshi kabla ya kuhamia dar? Pale moshi ABC na viwanja vya hindu mandal ndio ilikuwa machimbo yake. Huko dodoma bado pamepoa sana hakuna huduma nyingi kulinganisha na arusha na mwanza ongeza na mbeya. Vijana waone fursa huko, kuna kijana mmoja alikuwa na huduma yake morogoro amehamia dar, Dar ndio ina mitume na manabii maarufu wengi ikifuatiwa na arusha na mwanza
 
Sio kwamba alikuwa pale soko la memorial. ?
 
Kwenye makanisa ya sasa mtaji mkubwa na nguvu ya kanisa ni watu,yaani kanisa au huduma Yako ipate watu wengi.

Kwa dar sasa Imejaa makanisa yapo mengi mno na wanaonufaika ni wale wenye majina ie Mwamposa,kuhani Musa an CO.

Mkoa mzuri kwa Huduma kwa sasa ni Dodoma,dodoma inakuwa sana kwa haraka ina watu wengi mno ila hakuna uamsho kama Dar.

Kwa manabii na mitume ambazo wanataka kutengeneza Ngome wekeza Dodoma hasa kwenye upande wa radio za Dodoma kwanza ni Bei rahisi sana kununua airtime dodoma Usiku mzima unalipa laki moja au mbili TU massa karibu matano, ukiwekeza huku ytajitengenezea ufalme wako.

Mwamposa TU had sasa ndio amewekeza Dodoma weengine Bado hawajashtuka. Ukiwekeza weka na Tawi Dodoma ukizichnga vizuri utajenga ufalme wako Mkubwa sana hapa Dom sio dar ambapo radio zote zimeshikikiwa na watu

Watu wa Dom wanapenda sana waganga, na uchawi hiyo wanahitaji Nuru.ukiwa nabii wa kweli au wa Uongo Dom inakufaa wa kweli utaponya Roho nyingi sana, wa Uongo utapiga sana hela mzeee.

Ukihitaji ushauri karibu PM

Siku nyingine nitawaletea fursa nyingine zinazopatikana Dom. Machimbo ya Viwanja vya bei poa nk
Wachungaji au wachunaji? Manabii au manaibia?
 
Sawa Mkuu, wamekusikia mitume wachungaji, na manabii, bila shaka pm imefurika huko wakitaka connection.
 
Back
Top Bottom